chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,683
- 45,920
Dah vibes za kiSão Paulo flani hivi karibu na those Amazon hills kumbe ni Mwanza
View: https://vm.tiktok.com/ZMMFjGSAo/
View: https://vm.tiktok.com/ZMMFjGSAo/
Mungu alishatoa kila kitu mdogo wangu. Mungu Tunamshukuru na Kumsifu tu.Uombwe kwani we nani? Mungu?
Weka picha hapa na si tafadhali 😆
Unataka photos wewe ni nani? Andika "Tafadhali ninaomba mniwekee photos za maendeleo ya ujenzi wa uwanja wa Dodoma" Hapa siyo kenya kutumia lugha chafu. Ebo!!
Anaomba kama zake.....Photos?
Yaani anakuja ku weka command kama ametusaidia kununua camera. 🤣 🤣 🤣Anaomba kama zake.....
And what are those cities if I may ask?Mnang'ang'ania Nairobi kuwa ni green City niivalie njuga hilo suala then nikionyeshe the most green cities in east Africa
Yenu yenye inawika mbona mlishindwa kupata nayo hata goli moja AFCON?Hivi wakenya soka lenu mbona haliwiki?
Kitanisaidia nn chizi wewe 😂😂😂
Mchina anachukua kila kitu Kenya hamuna hata pesa ya kununua nguo wala chakula
View: https://twitter.com/Nyaassh/status/1763474681913336274?t=s6KTBSxxndaRrYF3uSXeHw&s=19
Utakuwa umekula mutura wewe. Hii hoja yako is a childish 🤣🤣🤣Yenu yenye inawika mbona mlishindwa kupata nayo hata goli moja AFCON?
Wewe utajinyeaLabda sio kenya ninayoijua mm 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Childish?Utakuwa umekula mutura wewe. Hii hoja yako is a childish 🤣🤣🤣