buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,110
Tunawaambia hawaelewi, kuna more than stadium kwenye kuhost tournament. Population nzima inaboost riadha, na rugby. Na hawajawahi experience mashindano ya kimataifa ya football, even kalenda ya FIFA wanaenda nchi nyingine kuomba uwanja.Unatoka kutizama mpira usiku saa saba halafu unaenda kupanda matatu. 😂😂😂