Tzn wakati mwingine tuwe tunafikiria Kwa upana wa mambo.Faida za mradi sio direct revenues pakee ambazo ndio wanang'ang'ania huko kwenye majadiliano.
Faida ni pamoja na zitokanazo kama Ajira,CSR projects,bidhaa zilizopo kwenye mnyororo wa thamani tunazoweza ku offer kama saruji,nondo nk,umeme,maji etc.
Hii kung'ang'ania direct revenues ndio inasbababisha investors kukimbia maana Dunia ni ya ushindani na Mali inapatikana kwingineko vile vile.Hiaezekani hujaweka mtaji,teknolojia Wala soko huna ila unataka let say 40/60 kisa una Mali,hii haipo.
Kama Investors wako tayari kutoa 25-30% ni Bora kuchukua maana wao ni risk taker Toka wakati wa exploration ila Nchi itapata faidia zitokanazo na uwekezaji kama nilivyoeleza hapo Juu.
Uganda wangekomaa na faidia kubwa hakuna kampuni ingejenga hata EACOP wakati Mafuta ni ya kuunga unga na Yana koma.miaka 20 tuu ijayo.
Zimbabwe,Guinea na Mozambique wangekomaa kijinga jinga kuhusu Madini ya Chuma wawekezaji wangeseoa na ingesalia stori za kijinga kama Liganga na Mchuchuma Toka tunazaliwa na tunazeeka hakuna kinachoendelea na watu wanakufa kwenye umaskini.
Rais ingilia kati toa uamzi Moja kwa.moja ,Bora lawama kuliko fedheha.