Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolala render imekuwepo hizi siku zote. It's about groundbreaking. Najua hiyo ndio inawaumiza moyo. You thought it will never get built. Poleni sana kwa maumivu 😆😆
wako na butthurts kadhaa.....in Abel Mutua's voice.
 
Yanga SC stadium ujenzi unaanza April or may this year 👇👇👇👇
images - 2024-03-02T160732.982.jpeg
 
Kwa hivyo Dar miji zote ni mikongwe?

Nyumba nyingi (where the majority live) hazijapakwa rangi. View attachment 2922246View attachment 2922248View attachment 2922249View attachment 2922250
Labda tu nikuambie ukweli.
Unajua kwanini mji wa Dar una shanty towns nyingi??
Ni kwasababu sehemu kubwa ya Dar ni miji ilojengwa enzi hizooo.
Nyumba nyingi za Dar ni za miaka ya 1950s tena zipo mpaka za 1920s.
Hizo zote ni za zamani yani hata ukiwauliza wanaomiliki wakikwambia zimetokea wapi unaweza shangaa.
 
Talanta iko wapi zaidi ya render😂😂😂
Dodoma kuna uwanja unajengwa wa 30,000 na Arusha same 30,000 , kila kitu kinajengwa Nairobi tanueni wigo nje ya Nairobi
Usidhani kila mtu mjinga.
Talanta - Ground broken
Arusha - Launched, ground yet to be broken
Dodoma - yet to be launched.
Hizo zenu ndio renders, Talanta iko initial stages za ujenzi.
 
Usidhani kila mtu mjinga.
Talanta - Ground broken
Arusha - Launched, ground yet to be broken
Dodoma - yet to be launched.
Hizo zenu ndio renders, Talanta iko initial stages za ujenzi.
Jenga Kwanza alaf panua kipumulio😂😂

Hata pinnacle mulijenga handaki ikabakia shimo la kuhifadhi mavi ya kibera 😃😃😃

Sisi hua hatuongei ila tushakwambia dodoma na Arusha kuna viwanja vya kisasa Sana vitajengwa na maandalizi yote tayar hata site clearance tayar dodoma na Arusha
 
Back
Top Bottom