Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Expressway ilijengwa kwa sababu sio Mali yenu ni Mali ya mchina ambaye lazma ajenge haraka ili aanze kurudisha pesa yake haraka over 30 good years mchina ataimiliki

SGR same story like expressway 😂😂😂😂😂

Swali la kukuuliza hio stadium ni mikopo au pesa ya ruto ?? Hapo ndio ukweli utajulikana 😂
Tulia brathe ushaanza kulowa jasho na kulia ila hata hatujaanza kukumarinate. Na tukianza kukuweka kwa jiko utafanya nini?😂
 
Nyamagana rangi sh ngapi jamani?

Hivi, mbona kupaka rangi Tanzania ni shida? Ukiangalia zile nyumba zenu za Dar Hali ni hivyo hivyo.
Inayochezewa rangi au uwanja??
Kenyans huwa hamkosi sababu aisee.
Hizo nyumba zenye tatizo la rangi Tz labda miji mikongwe kama Gongo la mboto .
 
Vinyang'au vinajiona vimepata nguvu baada ya kuona render, ha ha ha😎
Bongolala render imekuwepo hizi siku zote. It's about groundbreaking. Najua hiyo ndio inawaumiza moyo. You thought it will never get built. Poleni sana kwa maumivu 😆😆
 
Inayochezewa rangi au uwanja??
Kenyans huwa hamkosi sababu aisee.
Hizo nyumba zenye tatizo la rangi Tz labda miji mikongwe kama Gongo la mboto .
Sasa hizo vitu umepost ndio unasema are better than Kenyan stadiums?
 
Inayochezewa rangi au uwanja??
Kenyans huwa hamkosi sababu aisee.
Hizo nyumba zenye tatizo la rangi Tz labda miji mikongwe kama Gongo la mboto .
Kwa hivyo Dar miji zote ni mikongwe?

Nyumba nyingi (where the majority live) hazijapakwa rangi.
images - 2024-03-02T143614.385.jpeg
images - 2024-03-02T143518.557.jpeg
images - 2024-03-02T143552.856.jpeg
images - 2024-03-02T143454.843.jpeg
 

Attachments

  • images - 2024-03-02T143552.856.jpeg
    images - 2024-03-02T143552.856.jpeg
    54.4 KB · Views: 18
Financial Center with no single bank, Financial center with no single insurance company, finance center with single financial institutions.


Ilikuwa tu lazima uite that dusty place ati financial Center?

East Africa only have One pure financial Center which is Upperhill.
Wewe mbwa soma chini 👇hapo😂😂 usiporidhika niambie I'll post jengo moja moja
Bank zinazopatikana huu mtaa.
CRDB
NMB
Azania bank
TADB
TCB
BOT ipo mitaa hii pia.
 
Back
Top Bottom