Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

According to Kosugi Logic, this is a 90,000 capacity stadium. You just need to build modern stands around it, the toilets and changing room. After all there is enough land for that. Nakwambia hili jukwaa nimepatana na wendazimu wewe.🤣 🤣
pexels-photo-1443733.jpeg
Huyo anakuanga mjinga kila siku, alafu anakuambia ati hiyo field can host AFCON.
 
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
Hamna stadiums Tanzania, and that’s why wenzako wamekuacha ung’ang’ane pekoe yako. Outside Dar there’s nothing.
Una uhakika?
Can I prove you wrong?
 
According to Kosugi Logic, this is a 90,000 capacity stadium. You just need to build modern stands around it, the toilets and changing room. After all there is enough land for that. Nakwambia hili jukwaa nimepatana na wendazimu wewe.🤣 🤣
pexels-photo-1443733.jpeg
Unazidi kujishusha hadhi.
Hiko kiwanja cha mpira??
Kuna magoli hapo na bendera za uwanja??
MBONA UNAKUA KICHAA WE JAMAA?
 
Hivi sasa unataka kulinganisha hivyo vistadium vidogo mnavyojenga na Talanta stadium? Una shida ya akili wewe.
Talanta iko wapi zaidi ya renderšŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Dodoma kuna uwanja unajengwa wa 30,000 na Arusha same 30,000 , kila kitu kinajengwa Nairobi tanueni wigo nje ya Nairobi
 
Sijaiona ukiulizia construction board ya Talanta Stadium, expressway ilikudemoralise ama?

With Atlanta, Opening Game and Finals will be played in Nairobi.
Jenga Kwanza alaf kenua mdomo muliomba 1km of SGR SASA hvi tunajengwa over 1500km 6phases na huskii MTU akipiga kelelešŸ˜‚šŸ˜‚

Umebakia kutoa mapovu ya extended canopy jaluo jinga kweli
 
Back
Top Bottom