Kuambiwa ukweli pia hupendi.Kujadiliana na mkenya bora ukubaliane naye,aya sijaelewa.
Mall hata huku zijengwa bro kuna kunduchi mall na kuna east Africa logistic hub pale ubungo hio sio issue kabisa, issue ni kua dunia inaenda speed Sana Kias kwamba SASA hvi munashangilia render 😂😂😂🙌🙌Between 2020 and 2023, you mostly saw pictures of projects that were nearly done, like the BBS Mall, and sometimes you saw finished projects even without digital rendering, like the Broadwalk. bro rest assured in 2024, the rendering is just as good as the finished project and you know it that’s why you’re worried. Poleni
Afrika Mashariki uwanja pekee unaokidhi vigezo vya kimataifa ni BENJAMIN MKAPA STADIUM.East Africa kwa sasa hamna viwanja vya maana ukitoa kila cha Rwanda. Kama hivi ndio viwanja unasema vinahitaji renovation then uko na shida sana.
![]()
Hivi sasa unataka kulinganisha hivyo vistadium vidogo mnavyojenga na Talanta stadium? Una shida ya akili wewe.Mall hata huku zijengwa bro kuna kunduchi mall na kuna east Africa logistic hub pale ubungo hio sio issue kabisa, issue ni kua dunia inaenda speed Sana Kias kwamba SASA hvi munashangilia render 😂😂😂🙌🙌
Huku tuna ujenzi wa two modern stadium in dodoma and Arusha lakini huskii hata kelele na vitu vya kawaida Sana Tanzania kua na modern stadium like Benjamin mkapa, Aman karume stadium etc
Kama hizi ndio high class stadiums heri tubaki na zetu mbovu.Afrika Mashariki uwanja pekee unaokidhi vigezo vya kimataifa ni BENJAMIN MKAPA STADIUM.
Niletee huo uwanja wa Rwanda niuone??
Viwanja vya Tanzania vina pitch nzuri renovation inahitajika katika majukwaa,vyumba vya kubadilishia nguo,vyoo na mabenchi ya ufundi.
Hivyo vya hapo vina uwezo wa kuingiza zaidi ya mashabiki 25k kama majukwaa yakirekebishwa.
View attachment 2922015View attachment 2922016View attachment 2922017View attachment 2922018
Expressway ilijengwa kwa sababu sio Mali yenu ni Mali ya mchina ambaye lazma ajenge haraka ili aanze kurudisha pesa yake haraka over 30 good years mchina ataimilikiExpressway ilijengwa within how many months? The same constructors that did expressway and SGR are the same that will build the Stadium. We all know their construction speed and final products, so be rest assured that it will be complete within 18months.
To summarize it all, mna nyasi mnangoja kujenga stadium yenyewe. 🤣 🤣Afrika Mashariki uwanja pekee unaokidhi vigezo vya kimataifa ni BENJAMIN MKAPA STADIUM.
Niletee huo uwanja wa Rwanda niuone??
Viwanja vya Tanzania vina pitch nzuri renovation inahitajika katika majukwaa,vyumba vya kubadilishia nguo,vyoo na mabenchi ya ufundi.
Hivyo vya hapo vina uwezo wa kuingiza zaidi ya mashabiki 25k kama majukwaa yakirekebishwa.
View attachment 2922015View attachment 2922016View attachment 2922017View attachment 2922018
Kwani umesahau mulikua munaomba 1km of SGR mukijua haitajengwa?? SASA hvi munaomba nn zaidi ya Neno extended canopy ??😂😂😂😂😂😂ichoboy01 do you remember this?
View attachment 2921977
Progress of Altura Tower
View attachment 2921976
Progress of Crown Jewel/1870 Tower.
View attachment 2921975
Tizama hiyo pitch na fananisha na pitch za kasarani kesha urejee.Kama hizi ndio high class stadiums heri tubaki na zetu mbovu.
Ni sawa hujakosea.To summarize it all, mna nyasi mnangoja kujenga stadium yenyewe. 🤣 🤣
Why are you showing us fields instead of stadiums?Afrika Mashariki uwanja pekee unaokidhi vigezo vya kimataifa ni BENJAMIN MKAPA STADIUM.
Niletee huo uwanja wa Rwanda niuone??
Viwanja vya Tanzania vina pitch nzuri renovation inahitajika katika majukwaa,vyumba vya kubadilishia nguo,vyoo na mabenchi ya ufundi.
Hivyo vya hapo vina uwezo wa kuingiza zaidi ya mashabiki 25k kama majukwaa yakirekebishwa.
View attachment 2922015View attachment 2922016View attachment 2922017View attachment 2922018
Pinnacle and montave mbona hujazitaja sasa😂😂😂 au zilishajengwa like shimo la pinnacle like wapi???Huyo asikusumbue, he is the same guy that kept on asking for construction board ya expressway. He is the same guy moneyed alisema GTC haitajengwa, 88 Nairobi haitajengwa, Mashujaa museum ni render tu an haitajengwa, Altura Tower, CBK Tower, 1870 Tower etc. I can name so many.
Kwani umesahau mulikua munaomba 1km of SGR mukijua haitajengwa?? SASA hvi munaomba nn zaidi ya Neno extended canopy ??😂😂😂😂😂😂
Aya msema ukweli.Kuambiwa ukweli pia hupendi.
Sijaiona ukiulizia construction board ya Talanta Stadium, expressway ilikudemoralise ama?Expressway ilijengwa kwa sababu sio Mali yenu ni Mali ya mchina ambaye lazma ajenge haraka ili aanze kurudisha pesa yake haraka over 30 good years mchina ataimiliki
SGR same story like expressway 😂😂😂😂😂
Swali la kukuuliza hio stadium ni mikopo au pesa ya ruto ?? Hapo ndio ukweli utajulikana 😂
Tizama hiyo pitch na fananisha na pitch za kasarani kesha urejee.
Hapo ni kurekebisha majukwaa na vyumba vya nguo na vyoo basi.
Hivi unaelewa stadium ikijengwa hizo pitch lazima zibomolewe ndio ujenzi uendelee? Haya yako ni kama kujisifu una gari eti umenunua gurudumu bado tu chasis, body na engine. Yani unakaa mjinga sana.Ni sawa hujakosea.
Tz huwa kwanza tunajikita pa kuchezea kesha majukwaa baadae.
That is a stadium brother.Why are you showing us fields instead of stadiums?
So leo hutaki kuskia mambo ya Expressway, GTC, Altura, CBK, Prism and 1780 tower?Pinnacle and montave mbona hujazitaja sasa😂😂😂 au zilishajengwa like shimo la pinnacle like wapi???
Sio sahihi.Hivi unaelewa stadium ikijengwa hizo pitch lazima zibomolewe ndio ujenzi uendelee? Haya yako ni kama kujisifu una gari eti umenunua gurudumu bado tu chasis, body na engine. Yani unakaa mjinga sana.
pedestrian ndio nini?
Nani kakwambia hawatakiwi kuwepo kwenye zahanati?
Halafu hospitali ya wilaya ya Chunya au pale tukutu wapo Pediatricians wangapi?
a reason I said huna exposure. Hupaswi kuwa kwenye forum za wajuvi wa mambo kama hizi. Wewe nenda huko fb.