Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Afrika Mashariki uwanja pekee unaokidhi vigezo vya kimataifa ni BENJAMIN MKAPA STADIUM.
Niletee huo uwanja wa Rwanda niuone??
Viwanja vya Tanzania vina pitch nzuri renovation inahitajika katika majukwaa,vyumba vya kubadilishia nguo,vyoo na mabenchi ya ufundi.
Hivyo vya hapo vina uwezo wa kuingiza zaidi ya mashabiki 25k kama majukwaa yakirekebishwa.
View attachment 2922015View attachment 2922016View attachment 2922017View attachment 2922018
There is no difference between this and Kakamega High School Football Pitch 😂
 
Umepost huu uwanja ukasifia eti ''renovation inahitajika katika majukwaa,vyumba vya kubadilishia nguo,vyoo na mabenchi ya ufund''.

Hivi hiki ni kiwanja cha kupakapaka rangi na kichezewe Afcon? Wewe wacha nikuache maanake akili yako ni kama sio nzuri vile. 🤣 🤣

1709364099180-png.2922021
Ndio huo uwanja kama ukijengewa majukwaa na vyoo unachezewa AFCON.
 
This thing can’t even host Kenya National Secondary ball games.
Sijai ona football pitch nzuri Kenya .
Natizama league yenu brothee.
Siku nitakupigia picha viwanja mnavyotumia katika league yenu uje ufananishe na hiyo pitch .
 
Sijai ona football pitch nzuri Kenya .
Natizama league yenu brothee.
Siku nitakupigia picha viwanja mnavyotumia katika league yenu uje ufananishe na hiyo pitch .
This was 2023 Secondary Schools National games in Kakamega.

Bukhungu is currently undergoing construction, unaona hapa Haru a Kuria kwa Nyasia Kama Hugo Tanzania?
1709366767973.jpeg
 
Mbona unajikanganya??
Hivyo viwanja vya Nou camp na Bernabeu ulifuatilia sababu zao za kuvijenga upya hivyo viwanja??
Sie hatuna sababu ya kujenga upya ila tunatakiwa kujenga majukwaa tu.
"Majukwaa tu" 😂. Then basi hata Dandora stadium has higher chances of hosting AFCON than whatever bullshit you posted in the name of a stadium kwani Dandora stadium already ina majukwaa

Dandora stadium.

View: https://www.instagram.com/p/Cvu2HhmoFHw/?img_index=1

Vs

1709367783758.png
 
Mamboleo Stadium Kisumu County

Mambo ya kupigwa an Juan Kama Hilo grazing fields za Tanzania hakuna huku.
1709367790185.jpeg

1709367954262.jpeg
 
"Majukwaa tu" 😂. Then basi hata Dandora stadium has higher chances of hosting AFCON than whatever bullshit you posted in the name of a stadium kwani Dandora stadium already ina majukwaa

Dandora stadium.

View: https://www.instagram.com/p/Cvu2HhmoFHw/?img_index=1

Vs

View attachment 2922061

Ndugu yangu unaenda wrong.
Dandora haina majukwaa ya kuhodhi mashabiki zaidi ya 25k.
Majaliwa ina uwezo wa kuhodhi mashabiki wanaokimbizana idadi na Mkapa.
Pia Majaliwa uwanja wake ni 120 metre chenu kidogo.
Yani Dandora itabidi ivunjwe ipanuliwe Majaliwa haihitaji kuvunjwa ipanuliwe.
 
Hivi hao 25k watakalia hiyo zege ama wataegea kwa hicho kifense uchwara huko nyuma? 🤣 🤣 🤣
1709367783758-png.2922061
 
Back
Top Bottom