Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That is a stadium brother.
Hujaona sehem za majukwaa za kukalia watu??
Ila ni vile majukwaa yote ya Cement hayana taste.
If this is a stadium according to you then goodbye. Na bado mnataka kushindana na Kenya.

1709364099180.png
 
Msevu hizo render mwisho wa siku tutaona nani katoa kitu kama kilivyo kwenye michoro yalammayeeeeeee
Wewe kweli ni kichaa 🤣🤣🤣 mpaka kufkia sasa sisi tayari tuko na viwanja viwili already kwaajili ya Afcon, hiv hapa 👇View attachment 2921501View attachment 2921507another one 👇View attachment 2921508.. they're both qualify CAF standards, na likija suala la kujenga viwanja vipya sisi tunajenga viwanja viwili, kati ya hivyo kimoja hiki hapa render yake hii Arusha stadium 👇View attachment 2921509View attachment 2921510vs hii renda enye ndio utakua Uwanja pekee wenye utapata CAF standards 👇View attachment 2921511🤣🤣🤣🤣 sasa sijajua unatutishia nini
 
Msevu hizo render mwisho wa siku tutaona nani katoa kitu kama kilivyo kwenye michoro yalammayeeeeeee
Hata mie nawashangaa sana.
Wana uwanja mmoja tu wa maana Kasarani.
Halafu wanataka kukimbizana na Tz ambao wana Mkapa stadium,Amani stadium na Uhuru stadium.
Hivyo ni viwanja vya serikali ambavyo vipo active KIMATAIFA.
Walete wao viwanja vyao.
 
Sio sahihi.
Sio kila stadium ikijengwa lazima pitch ibomolewe.
Hapana umekosea tena sana.
Mathalan Jamhuri Dodoma akati unajengwa majukwaa na kuwekwa taa pitch haikubomolewa.
Unarekebisha majukwaa na vyoo unagusaje pitch??
Labda uniambie pitch inaweza ikaathirika na ujenzi ila sio kubomolewa,na kama kiathirika ni nyasi tu zitarekebishwa baada ya ujenzi.Viwanja vingi Tz asahv ni nyasi asilia sio makapeti.
Nimechoka na wewe. We have fools and we have confident fools. Fools can be taught but confident fools are a lost case. Siku njema brother.
 
Sio sahihi.
Sio kila stadium ikijengwa lazima pitch ibomolewe.
Hapana umekosea tena sana.
Mathalan Jamhuri Dodoma akati unajengwa majukwaa na kuwekwa taa pitch haikubomolewa.
Unarekebisha majukwaa na vyoo unagusaje pitch??
Labda uniambie pitch inaweza ikaathirika na ujenzi ila sio kubomolewa,na kama kiathirika ni nyasi tu zitarekebishwa baada ya ujenzi.Viwanja vingi Tz asahv ni nyasi asilia sio makapeti.
Broo, there is a difference between renovation and reconstruction. Mfano, kitakachofanyika Kasarani ni renovation, hapo pitch haitobomolewa unless iharibiwe kibahati mbaya na heavy machinery wakati wa renovation. Hizo viwanja ulivyopost ni pitch pekee, vinaitaji full reconstruction. For those to be called stadiums lazima hizo pitch zibomolewe. Kweli dwanzi ni dwanzi tu. 🚮🚮
Mifano ya reconstruction hii hapa
Camp Nou Barcelona
sddefault.jpg

Amahoro Rwanda
VAmHL1MHSq3LYtwj.jpg:large

Santiago Barnabue Madrid
ae97cd35-2480-48e9-b767-8a89201a1e7c

Tazama pitch zote zimebomolewa.
 
Kenya uwanja ulio active na pitch nzuri ni Kasarani pekeake.
Natizama FKF league mna viwanja vibovu aisee.
There's no stadium in Tanzania that comes close to Nyayo Stadium.

1709364511787.png

1709364555963.png

Aquatic Stadium at Nyayo undergoing renovation

1709364653393.png

Indoor Arena at Nyayo Stadium
1709364836101.png

There's no stadium in Tanzania with all those facilities under one building.
 
Msevu hizo render mwisho wa siku tutaona nani katoa kitu kama kilivyo kwenye michoro yalammayeeeeeee
Ukiwaelezea wanakupa majina mara confident fool mara nini.
Ukiwauliza wana viwanja active kimataifa vingapi hawakupi jibu.
Imagine mtu anakwambia Rwanda ndio yenye uwanja wa maana.
Can you imagine that bro!?
Mie natizama FKF league mpaka leo hii hawa jamaa viwanja hawana.
 
Broo, there is a difference between renovation and reconstruction. Mfano, kitakachofanyika Kasarani ni renovation, hapo pitch haitobomolewa unless iharibiwe kibahati mbaya na heavy machinery wakati wa renovation. Hizo viwanja ulivyopost ni pitch pekee, vinaitaji full reconstruction. For those to be called stadiums lazima hizo pitch zibomolewe. Kweli dwanzi ni dwanzi tu. 🚮🚮
Mifano wa reconstruction hii hapa
Camp Nou Barcelona
sddefault.jpg

Amagoro Rwanda
index.php
ae97cd35-2480-48e9-b767-8a89201a1e7c

Tazama pitch zote zimebomolewa.
Kwa mtizamo wako wewe.
Au hao waliojenga hivyo viwanja hawana akili?
Majaliwa stadium akati inazinduliwa waliojenga hiyo uwanja walisema kabisa kuwa kwa uwazi uliobaki ni kumalizia majukwaa tuu na vyumba vya nguo pasi na pitch kuguswa.
Vivyo hivyo kwa jamhuri Dodoma pale yale majukwaa ni kupigwa paa na kuwekwa viti.
Wakenya mnajikuta wajuaji sana.
Najua tofauti ya reconstruction na renovation.
Screenshot_2024-03-02-10-08-33-54_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg

Tizama mfano wa Jamhuri Dodoma hapo.
 
Broo, there is a difference between renovation and reconstruction. Mfano, kitakachofanyika Kasarani ni renovation, hapo pitch haitobomolewa unless iharibiwe kibahati mbaya na heavy machinery wakati wa renovation. Hizo viwanja ulivyopost ni pitch pekee, vinaitaji full reconstruction. For those to be called stadiums lazima hizo pitch zibomolewe. Kweli dwanzi ni dwanzi tu. 🚮🚮
Mifano ya reconstruction hii hapa
Camp Nou Barcelona
sddefault.jpg

Amahoro Rwanda
VAmHL1MHSq3LYtwj.jpg:large

Santiago Barnabue Madrid
ae97cd35-2480-48e9-b767-8a89201a1e7c

Tazama pitch zote zimebomolewa.
Mbona unajikanganya??
Hivyo viwanja vya Nou camp na Bernabeu ulifuatilia sababu zao za kuvijenga upya hivyo viwanja??
Sie hatuna sababu ya kujenga upya ila tunatakiwa kujenga majukwaa tu.
 
Kwa mtizamo wako wewe.
Au hao waliojenga hivyo viwanja hawana akili?
Majaliwa stadium akati inazinduliwa waliojenga hiyo uwanja walisema kabisa kuwa kwa uwazi uliobaki ni kumalizia majukwaa tuu na vyumba vya nguo pasi na pitch kuguswa.
Vivyo hivyo kwa jamhuri Dodoma pale yale majukwaa ni kupigwa paa na kuwekwa viti.
Wakenya mnajikuta wajuaji sana.
Najua tofauti ya reconstruction na renovation.
View attachment 2922035
Tizama mfano wa Jamhuri Dodoma hapo.
Umepost huu uwanja ukasifia eti ''renovation inahitajika katika majukwaa,vyumba vya kubadilishia nguo,vyoo na mabenchi ya ufund''.

Hivi hiki ni kiwanja cha kupakapaka rangi na kichezewe Afcon? Wewe wacha nikuache maanake akili yako ni kama sio nzuri vile. 🤣 🤣

1709364099180-png.2922021
 
East Africa uwanja pekee wa mpira ni Mkapa stadium sijaona mwingine.
Hapa tunazungumzia viwanja vya mpira.
Mkapa in not a football stadium but a multiple sports stadium, that's why it has a running track. Talanta will be the only pure football and rugby stadium in East Africa.
 
Mbona unajikanganya??
Hivyo viwanja vya Nou camp na Bernabeu ulifuatilia sababu zao za kuvijenga upya hivyo viwanja??
Sie hatuna sababu ya kujenga upya ila tunatakiwa kujenga majukwaa tu.
Wacha nikuache. Kama alivyosema mwenzangu, a confident fool is a dangerous person. 🤣 🤣
 
Uwanja wenyewe ni artificial tuft. 🤣 🤣
Maybe hiyo ndio kitu kinamfurahisha😄😄😄.

In Kenya every county is building a small stadium with better standards compared to those artificial fields naona huko Tanzania.
 
Back
Top Bottom