Huo uwazi wote unatosha kujenga majukwaa ya kisasa broo.Hivi hao 25k watakalia hiyo zege ama wataegea kwa hicho kifense uchwara huko nyuma? 🤣 🤣 🤣
![]()
Huo uwazi ni mkubwa sana labda kama hujatizama vizuri.
Serikali kama ikitaka inaweza ikajenga majukwaa ya kisasa hapo na vyumba vya nguo na vyoo vya kisasa uwanja ukatumika.
Ni kama serikali ikitaka..