game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,056
- 26,336
Wewe ndio ndezi mkubwa.Ndio namba E zipo Hadi Vijijini Kwa sababu Mama amefingua Barabara za Vijijini Kupitia tozo mambo ni 🔥🔥
Harafu nyie mafala ambao mumekariri maisha hapo Dar mnajua Tzn ya miaka ya Mwendazake ndio ipo Hadi Leo hii au?
Saizi Kijijini Kuna zahanati/Kituo Cha Afya,shule nzuri,umeme,maji ya Bomba na Barabara za uhakika.Ona hiyo nyumba ya huyu mama ni Kijiji pure ila maji kedekede👇
View: https://www.instagram.com/reel/C37wdmiIFJP/?igsh=ZGFtcjFzb3A1OHNh
Mwigulu kamatia hapo hapo wachane live hao.
Heheh, yaani hospitali ya Rufaa y’a mwananyamala kuna pediatricians wawili, huko kijijini kuna nini ?
Mimi pia Nina kijijini kwetu na nmetoka huko december, kuna jengo la zahanati, then what ?
Wewe huna exposure, hupaswi kuwa unacoment humu . Yaani unatoka mbeya yet unapata ujasiri wa kusifia serikali ya ccm ? Huoni haya. Mbeya mjini tu hali ni mbaya vile huko vijijini kupoje?