Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

NDINDA ni mchafu kweli kweli.

Router ya white inageuka black, yani hii yote ni vumbi. Bro kwani unaishi kwa vumbi?😂😂😂
View attachment 2915659
Mbona unalazimisha kitu ambacho kila mtu anaona sio kweli, alafu msenge mwenzio ana like, humuwezi NDINDA kwa chochote, unaongelea uchafu wakati picha yako umeiweka hapa upo eneo chafu kama choo na wewe mwenyewe pozi la kishamba na bado unaongea.
 
Mkuu Kosugi kama sitakukwaza naomba kukuelekeza kuweka picha vizuri ili zionekane sawa.

View attachment 2918817

Hapo kuna namna mbili, hiyo ya kwanza juu unadrop image tu hasa ukiwa una picha moja tu, bonyeza ya juu hapo.

Hiyo ya chini ya attach files ni kwa ajili ya more pictures kwa wakati mmoja sasa ndio naona unaitumia sana kama nipo sahihi.

Sasa kutumia hiyo fanya kuselect image, inakuja hivi.

View attachment 2918822

Kabla ya kupost reply bonyeza hapo, mshale ulipo Insert.

View attachment 2918823
Then chagua full Image. Deal done

View attachment 2918824
Ndio unapost.
Ukiwa na picha nyingi subiri picha zote ziload zikamilike alafu hiyo insert itakua Insert multiple unaclick inaselect zote then chagua Full Image.

Hizo picha zako zinakuja kama thumbnail.

Natumai sijakukwaza. Ni kusaidia tu ili picha zako ziwe instant visible 🙏
Thanks
 
Ushago tings.....the environment slurps differently
country design 6.jpg
country design 5.jpg
country design 4.jpg
country design 3.jpg
country design 2.jpg
country design 1.jpg
 
Back
Top Bottom