Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwa kina yule casanova wa kuabudu shetani kutoka wachafu records
FB_IMG_1709239266069.jpg
 
Wewe bwege nimevuka kigongo Busisi na ferry kote nakufahamu.

Kule Kigongo Busisi ni max.ya saa 1 na ukitumia Kamanga ferry ni max.ya dk.45.

Hiyo ni Kwa kutumia hayo magari yaliyochoka ya Temesa.

Ndio maana nikakwambia ningekuwa Mimi ningenunua ferry za Kisasa na nzuri ndio mvukie huku mapesa mengine nikisafisha vumbi la Slums za Mwanza.

Nyie wenye local reasoning hamuwezi kuelewa haya mambo,sikiliza wenye akili za kiuchumi kama zangu wakiwapa shule na kuwashangaa hapa πŸ‘‡

View: https://youtu.be/P_v7srOk7QY?si=KhNEkhpNkEFtUOSH

Wewe na hao wenzako mna tofauti gani?
Hao uliowapost na wewe si kama huyu dada??
Maana fact zile hazijakutosha hauna akili ya kuelewa go on with your poor reasoning.
 
Nawashangaa mnaopoteza muda kumjibu huyo mtu. Hujamjua tu? Just ignore him. Kwanza amegeuza thread kama page ya Tamisemi
Yani anafananisha uvukaji wa kivuko na daraja.
Ni sawa afananishe uvukaji daraja la nyerere na kivuko cha Ferri.
Hajui kama kukiwa na daraja kutakua na rapid free movement kuliko kukiwa na kivuko kutakuwa na limited movement.
Ananiletea wapuuzi wenzake kwa youtube wanatapika kama huyo dada hapo chini.
 
ok...haha

 
Mtaalamu mmoja mzalendo alinisimulia kwamba mradi wote ukikamilika na kuzalisha 2100MW, TANESCO wana uhakika wa kukusanya 270Bilion kwa mwezi ambapo haya ni makadirio ya chini kabisa. Kwenye hiyo 270B gharama wanazolipia taasisi ya maji kwa mwezi hazifiki hata 10M. Ingelikuwa kiasi sawa cha Umeme kimezalishwa kwa kwa kutumia mitambo ya gas basi hapo zaidi ya robo ingeltumika kulipia gas.
Huyu jamaa alichoongea kinafikirisha sana.
 

Wewe ni ndezi kweli ,
Kwamba huyu mwigulu akienda kule jimboni kwake Singida anakuta hizo foleni za banks na hayo maharusi na hizo namba E nyingi? Wewe hali ya kijijini kwenu kuna namba E na foleni za banks? Watu walioko kwenye system wameongezewa wigo wa kufanya madili, mimi mke wangu yupo kwenye mfumo naona haya mambo yanavyoenda. Such a rotten government na mandezi kama wewe mpo kushangilia.
 
Leo nimepata taarifa kuwa public hospitals za Tanzania ndio zinaongoza Africa nzima kwa huduma nzuri za tiba, vifaa na modernity
Kwamba Temeke na mwananyamala zina huduma nzuri? Anyway mimi ndio maana sipendi hulka za kikunya za kutaka kushindana na ranks za namna hii. Ni bora tufanye mambo kwa ajili yetu. Serikali ifanye tu basics.
 
Wewe ni ndezi kweli ,
Kwamba huyu mwigulu akienda kule jimboni kwake Singida anakuta hizo foleni za banks na hayo maharusi na hizo namba E nyingi? Wewe hali ya kijijini kwenu kuna namba E na foleni za banks? Watu walioko kwenye system wameongezewa wigo wa kufanya madili, mimi mke wangu yupo kwenye mfumo naona haya mambo yanavyoenda. Such a rotten government na mandezi kama wewe mpo kushangilia.
Wewe ndio ndezi mkubwa.Ndio namba E zipo Hadi Vijijini Kwa sababu Mama amefingua Barabara za Vijijini Kupitia tozo mambo ni πŸ”₯πŸ”₯

Harafu nyie mafala ambao mumekariri maisha hapo Dar mnajua Tzn ya miaka ya Mwendazake ndio ipo Hadi Leo hii au?

Saizi Kijijini Kuna zahanati/Kituo Cha Afya,shule nzuri,umeme,maji ya Bomba na Barabara za uhakika.Ona hiyo nyumba ya huyu mama ni Kijiji pure ila maji kedekedeπŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/C37wdmiIFJP/?igsh=ZGFtcjFzb3A1OHNh

Mwigulu kamatia hapo hapo mpaka waseme Bado hawajasemaπŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C34ndtoqbMt/?igsh=MXhyMjJrejE3Z3VuMQ==

Usirudie tena kufananisha awamu ya Samia na walioshindwa huku Wakiwa na visingizio vya Sgr.Mama aliposhika Dola mwaka wa kwanza tuu alipoandisha Bajeti ya Tarura kutoka bil.270 Hadi Bil.800 kuifungua Nchi na matokeo yake ndio hayo Mwigulu anawaambia namba E zimeenea Hadi Vijijini πŸ”₯πŸ”₯

View: https://www.instagram.com/p/Cy72BvRtElS/?igsh=MWFpY2tjeHR2ajQ5Mg==
 
Back
Top Bottom