That's why nasema I doubt your level of education and reasoning capability.Kwa kuwa una akili ya kienyeji ndio unaona ni big deal.Hakukuwa na uhitaji wowote wa kiuchumi wa Hilo daraja Kwa Sasa.
Ningekuwa Mimi ningejenga uwanja mkubwa wa Ndege na building terminal nzuri hapo Mwanza na kuweka vivuko vya Kisasa.
Pesa zingine ningetandaza lami za mitaa Jiji Zima Ili kuligeuza kuwa commercial City kweli kweli.
Mwanza ni Moja ya Miji ya hovyo imejaa mavumbi na slums everywhere kama Mbeya ,Hadi Dom imeipita Kwa mbali.
Dar tuu hapo Kuna zaidi ya km 500 za lami zinaendelea Ili kulifanya Jiji Hilo kuwa vibrant City ya biashara na kuondoa Mafuriko ya Kila siku.
Hilo daraja lenu lingekuja baadae sana baada ya Volume ya biashara kuongezeka nk
Watu wanaovuka kuja upande wa pili ni wananchi wa hand to mouth na biashara zao nyingi huzifuata ama kuzifanyia ng'ambo.
Kivuko cha kisasa cha kutembeza watu 30+ kilometa?
Sehemu ambayo mzunguko wa kiutaftaji ni mara kwa mara?!
Pindi kivuko kama cha MV.Magogoni kikibeba round ya kwanza kinaacha mamia ya raia ng'ambo wakiwaza na kuwazua kinarudi saa ngapi ili nao wavuke kwenda kufanya shughuli zao za kipato.
Unataka zitandazwe rami kwanza kesha uache wananchi wakitaabika katika suala la kuendea shughuli za kiuchumi???
Unatakiwa urudi darasani aisee.
Pia ondoa ujinga TZ mji pekee uliojengwa kwa mipango miji ni MWANZA labda Dodoma ndio itakuja kuipiku kwasababu ni mji wa kiserikali.
Ila kimipango miji kwasasa HATA DAR HAIJAJENGWA KIMPANGILIO KUIZIDI MWANZA nimefika.