ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Haya chukua soda kunywa urudishe sukari iliopotea kwa ajili ya hasira🤣🤣🤣🤣hizi ni buroti maguta maguta Joska malaa kamulu kantafu
Haya chukua soda kunywa urudishe sukari iliopotea kwa ajili ya hasira🤣🤣🤣🤣hizi ni buroti maguta maguta Joska malaa kamulu kantafu
Kwa hizo vitu umetaja, what doesn't Kenya have?Nyinyi wapuuzi tutawaburuza kwa miaka mingi sana, wakati sisi tunajipanga na vitu vya umuhimu zaidi na vyenye kujenga uchumi wa kweli kama electrified SGR, bridges, hydroelectric power plant, ships, ports etc nyie bado mpo na vitu vidogovidogo vya kipumbavu na vyenye kunufaisha wakenya wachache kama malls.
This is same huma bay, that extremely poor place despite the vast waters surrounding the village?Homa Bay Pier and Lake Front Rehabilitation
![]()
Mna vingi vyenye ufanisi mdogo.Kwa hizo vitu umetaja, what doesn't Kenya have?
Taja japo jambo moja jpm alifanya ambalo kwako ni zuri.Umeshakuwa kama mchawi wewe kazi Yako ni kutafuta makosa tuu yaani hakuga zuri mdomoni kwako.
Hiyo ni aina nyingine ya ugonjwa wa akili 😁😁
Umeme wa Bwawa la Nyerere na kutolea uzembe uzembeTaja japo jambo moja jpm alifanya ambalo kwako ni zuri.
Do you have electrified SGR? Do you have cable stayed bridge? Do you have brt? Just to mention the few.Kwa hizo vitu umetaja, what doesn't Kenya have?
Hilo bwawa ulikuwa hulitaki.Umeme wa Bwawa la Nyerere na kutolea uzembe uzembe
Sitaki Sgr Hadi keshokutwa na sitaki daraja la Magufuli Hadi kaburini ni maamuzi ya kienyeji yasiyo na Tija.Hilo bwawa ulikuwa hulitaki.
i was asking the same thing.....Kwa hizo vitu umetaja, what doesn't Kenya have?
We jamaa mbona unapendaga kuropoka!?Sitaki Sgr Hadi keshokutwa na sitaki daraja la Magufuli Hadi kaburini ni maamuzi ya kienyeji yasiyo na Tija.
My problem with Bwawa ni kwamba unaanza kujengwa bwawa la Kuchukua miaka Ili likamilike then hapo katikati huandai vyanzo vya mda mfupi vya kuja kukabiliana na demand inayoongezeka unapojemga bwawa then mtu anakuja kusema Samia amesababisha umeme kukatika,ujinga.
Nachoamini big projects hazihitaji rash maana Huwa Zina athari kubwa Kwa sekta zingine.magufuli alisimamisha Kila kitu anasingizia kujenga bwawa sijui Sgr na blaa blaa kama hizo.
Kama unataka kufanya hayo uwe unajua kutafuta pesa kama Samia Ili sekta zingine zisiparalse.Umewahi sikia Samia anatoa visingizio au Kuna sekta imekwama awamu hii?
Kwa kuwa una akili ya kienyeji ndio unaona ni big deal.Hakukuwa na uhitaji wowote wa kiuchumi wa Hilo daraja Kwa Sasa.We jamaa mbona unapendaga kuropoka!?
I do doubt your reasoning capacity.
Daraja la Magufuli la kigogo busisi litasaidia uvushaji wa watu na mizigo kwa zaidi ya umbali wa 30+ kilometa.
Watu ambao walikua wakichelewa shughuli zao kwa kutegemea kivuko kama cha pale Kivukoni Posta.
Imagine sie tunavyosugua benchi wa Kigamboni kuvuka Kivukoni na pale hata kilometa haijafika ila wao 30+ kilometa.
Kuhusu umeme mbona kipindi cha Magufuli ulikua haukatiki??
Ona visingizio mnavyoleta sasa.
-Shughuli za kibinadamu.
-Maji kukauka mabwawani.
-Nguzo kuibiwa.
-Mitambo kuchakaa.
Jamaa hizi sababu mbona kipindi cha Marehemu azikuwepo??
Pia miradi ambayo Magufuli alianzisha mnaimaliza kwa kusuasua na upigaji juu kwa kuongeza sifuri mbele.
JNHPP mlokosea kumaliza mahesabu ni ninyi mloachiwa kijiti.
SGR ina tija na NASHUKURU HUYU MAGUFULI ALIFIKIRIA HILI maana litasaidia katika usafirishaji mizigo ukanda huu kwa uharaka na ufanisi zaidi.
Ukumbuke Uganda kakubali kurudisha usafirishaji mizigo yake kupitia TRC kwasababu ya SGR.
Kuwa na reasoning kuna muda unakera bro unakera sana.