Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyinyi wapuuzi tutawaburuza kwa miaka mingi sana, wakati sisi tunajipanga na vitu vya umuhimu zaidi na vyenye kujenga uchumi wa kweli kama electrified SGR, bridges, hydroelectric power plant, ships, ports etc nyie bado mpo na vitu vidogovidogo vya kipumbavu na vyenye kunufaisha wakenya wachache kama malls.
Usiwaamshe mkuu waache waendelee kulala siku si nyingi watakuja kuuza bidhaa zetu nyingi tuu kwenye hizo malls zao.
 
Kisumu ni bling bling and hatungojei magorofa tujengewe na serikali
View attachment 2919635
Hiyo serikali yenu ubavu wa kujenga itoe wapi??
Serikali yetu ina uchumi tegemezi unaochagizwa na ulipaji kodi wa raia wake kama sisi.
Hivyo ikijenga serikali ni sawa na tumejenga sisi maana serikali inaendeshwa na kodi ama mapato ya raia wake kama sisi.
A question to ask,where are the Kunyans taxes gone and how are they used??
 
🙄🙄
Tumepigwa 🙆🙆,Haya mandege sio salama soon tunaanza kuyakimbia.

Manufacturer walisema myarudishe huko kiwandani hamtaki,Toka 2022 yamekuwa na shida za engine,nani anataka Kufa kizembe?


View: https://www.instagram.com/p/C351oOyrZB6/?igsh=MWo0amJvMjcxZ2w0OQ==

Nawakumbusha tuu 👇👇
1709152066160.png
 
Mambo ya Nabii 😁😁.Mtu akiwa Nje ya Utawala Huwa anapanua sana mdomo kama nyie machadema
Mie mkuu sina chama.
Mie ni mwanasiasa huru kiufupi ambae yuko nyuma ya kiongozi yeyote mnufaishaji na anaepinga kiongozi yeyote mbabaishaji.
ILA KENYA SIO YA KUIFANANISHA HATA NA BURUNDI.
🤔🤔🤔 Hiyo mikopo TZ ingefanya mambo mengi asa najiuliza pesa zinaenda wapiii!?
Halafu wanajisifia nchi haijengwi na government sectors badala waulize kodi zinaenda wapi....
 
Kenyans developing the villages quickly nowadays villages have best chill spots or even mini malls.


View: https://youtu.be/-fuQ669sR3E?si=zBdUP5ya5w-_S7Dg


Kenyans developing the villages quickly nowadays villages have best chill spots or even mini malls.


View: https://youtu.be/-fuQ669sR3E?si=zBdUP5ya5w-_S7Dg

Watu wangu… I know this guy.. mtu wa kwetu Nanyuki…True , Kenyans in Washington state especially in Seattle/ Tacoma metropolitan are real hustlers… they own big businesses especially care homes … too many to count… secret dollar millionaires… Go to Nanyuki and witness diaspora in action… We mean business…
 
Almost a half of a billion dollar zimemezwa na haya masufuria machache 😂😂😂

Kunyaland mtatapeliwa mpaka lini in the cost of billions? Sgr mmetapeliwa, new terminal JKIA mmetapeliwa linavuja kama kokoro la uvuvi haramu, expressway mmetapeliwa, kila kitu ni utapeli mtupu 😂😂😂

Halafu hii mada hamtaki kuisikia kabisa na mimi huwa napiga panapouma 😁😁

images.jpeg
 
Back
Top Bottom