uzuri wa thread hii ni kwamba kadili unavyozidi kushiriki katika mjadala ndivyo akili yako inavyozidi kupevuka katika uelewa wa masuala ya kimataifa kwasababu hubishani tu hivihivi,kuna wakati utalizimika kwenda ktk source nyingine ili u-cross check usahihi wa taarifa unazotaka kuziwasilisha.
mfano,statistics mbalimbali kuhusu uchumi wa kenya au tz,taarifa za miradi mbalimbali ya maendeleo kati ya kenya au tz nk.
it's not an easy job for someone who does not participate in discussions that involve people from two different countries.