Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi sio kama nyie mlio dandia kucopy hadi tower za watu wakati mnapesa kiduchu mkaona mjenge little sijui muitwe new york ndogo
4d39bf8f2340b8226aeb711328ac3908.jpg
a5f105543190f7a3882aa72a4dc25457.jpg
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila aka kajengo ni kafupi asee
Mnara ndo unakabeba
 
if only you knew the function of that antenna, haungeongea hivyo
[emoji28] [emoji28] [emoji28] sasa jengo ni short kama MWALA,ndio mfidie na limnara reeeefu.ikiwa jengo ni refu hamna haja ya mlingoti wote huo.
 
Watu mnabishana aseee! Ila mkikutana nje ya Africa ni ndugu! Good continue with your altercations.

Proudly to be Tanzania. Karibu Nyamongo!.
Tusipowatania na kuwatunishia msuri hamna wa kutuchangamsha akili ukanda huu
 
we are on the move of turning
one project after another into reality....nobody can stop us....hapa kazi tu.
b9c6cc5772c5c8927d146939387e586e.jpg
Cost yake ni 1.1b usd na itakua the largest cement factory in east and central africa, and its min capacity will be 7 million tons per year upto 10 million tons
 
Back
Top Bottom