Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tulia kaka,itabidi mvumilie muone kitu kikipaa hata kama mpendi
Washageuza ngoma. sasa wanaongea mambo ya first floor. hawa wadanganyika watasema huo ni white elephant hata wakati contractor atakapoweka final touches on the 70th floor. wana chuki kweli hawa wabongolala
 
Tuna Kilimanjaro International Airport (Kilimanjaro), Abeid Karume International Airport (Zanzibar), Songwe International Airport(Mbeya ), Na Bukoba Airport,
Zote zipo active,
Huo wa Isiolo zinatua ndege za kina odinga na Kenyatta wakati wa kampeni za Uchaguzi,
Wakati ukiwa pale Jomo Kenyatta Airport kuna direct flights za Kilimanjaro na Zanzibar, but hakuna flight za direct toka nchi yoyote Duniani kwenda huko Mombasa au Sijui Isoilo,
Achana na hawa wapuuzi kwenye suala la domestic flights tushawatupa kitambo.
Na sasa ATCL wanaanza kwenda Nairobi na Entebe KQ ndio basi tena
Eti hakuna direct flight kutoka ng'ambo kuingia Mombasa!? You must be living in another world. Chris Brown came to perform in Mombasa early this year and flew directly to the coastal city from the US. Secondly, wale wazungu wote wanakuja kutalii eneo la pwani ya Kenya wote wana fly direct to Mombasa wakitoka nchi zao. Fanya research yako vilivyo
 
Garisa CBD
View attachment 638782

QN, Hivi kwa nini nyie wakenya mko wachafu kiasi hiki?
Tazameni miji yenu ilivyo michafu,
Tumetuma pics za Miji ya Dom, Moshi, Iringa na Arusha, hamuoni Tofauti?
Pale nairobi inabidi uzibe pua all the time Hewa nzito na ukizingatia kuna baridi, sijui pangekuwa na joto kama Dar au Tanga Pangekuwaje,
Mkuu ufugaji wa vyura huo
 
Washageuza ngoma. sasa wanaongea mambo ya first floor. hawa wadanganyika watasema huo ni white elephant hata wakati contractor atakapoweka final touches on the 70th floor. wana chuki kweli hawa wabongolala
kama hakuna ujenzi mpaka sasa endeleeni kutuonesha renders😀😀😀😀😀😀😀
hakuna mtanzania mwenye chuki seme nyie ndio hua muna wivu na tanzania na siku zote hakuna mkenya anaetaka tanzania iendelee hayuko
 
international airport under construction, white house under construction, second biggest and modern stadium in africa under construction, mega housing project under constructio e.g iyumbu😀😀😀😀😀
Did you just say "white house"? Dude you must be high on something. There's only one white house in the world and it's found in Washington, DC
 
Did you just say "white house"? Dude you must be high on something. There's only one white house in the world and it's found in Washington, DC
presidential house umefurahi sasa, maana hata uelewa wako mdogo sana, ikulu zote ulimwenguni zimepakwa rangi nyeupe we kwa akili yako unafkiri kwann wanaita white house, tuliza akili😀😀😀😀😀
 
What an incredible creativity
tembo club arusha, i love the design
tembo%2Bclub.jpg

Cultural heritage museum arusha tanzania
arushatrip_labourdayweekend-1878-1629-1-jpg.496651
 
presidential house umefurahi sasa, maana hata uelewa wako mdogo sana, ikulu zote ulimwenguni zimepakwa rangi nyeupe we kwa akili yako unafkiri kwann wanaita white house, tuliza akili😀😀😀😀😀
Sasa wamerakani wakiita yao White House yamaanisha hata nyie yenu pia iitwee vivyo hivyo? Mnachojenga ni state house, white house waachie wamerekani.Na pia there's no universal rule kwamba ikulu zote za rais duniani zipakwe rangi nyeupe. kunazo nyingi sana zina rangi tofauti
 
akili ni nywele kila mtu anazake 😀😀😀😀😀😀😀 endelea kupambana na hali yako
 
akili ni nywele kila mtu anazake 😀😀😀😀😀😀😀 endelea kupambana na hali yako
Angalia hiyo link nimeweka hapo chini then tazama presidential palace ya Portugal. the second picture on the list
 
Sasa wamerakani wakiita yao White House yamaanisha hata nyie yenu pia iitwee vivyo hivyo? Mnachojenga ni state house, white house waachie wamerekani.Na pia there's no universal rule kwamba ikulu zote za rais duniani zipakwe rangi nyeupe. kunazo nyingi sana zina rangi tofauti
Kwani tatizo nini buda????US wanafugia panzi ya kwao???au hujui sababu ya kuitwa hivyo??s.corea wana ya blue na wanaita blue house.upo hapo???

Na tukidai nairobi sio city sababu ni marekani wanaita NY city,so nai itafute titor nyingine tutaelewekaje???

Wakenya mkiishiwaga sera ni kama mifuko iliyosombwa na tufani.
 
Angalia hiyo link nimeweka hapo chini then tazama presidential palace ya Portugal. the second picture on the list
Sasa kama kweli nyie mnajua kuchagua rangi mbona ya kwenu imekosa kwenye hiyo list au nyie hamna ikulu
 
america is already great...sasa unataka kumaanisha kuwa sera ya make america great again ndio confirmation ya kuwa USA inafanya vibaya? yaani sera tu? ww ni punguani wallahi...usiniquote tena...mimi kujadili na mjinga sipendi...yaani hata afadhali ichoboy..

American economy is not doing good. and if you follow the recent ecoReports, shows that their currency has been exhibiting depreciation against the gold for past three years. this is why the IMF added the Chinese Yuan as the stable currency other currency should measure against it. Yuen is increasing it value against gold for around a decade now.

soon the central banks of many lands will be reserving their liquid in Yuen.
 
Kwani tatizo nini buda????US wanafugia panzi ya kwao???au hujui sababu ya kuitwa hivyo??s.corea wana ya blue na wanaita blue house.upo hapo???

Na tukidai nairobi sio city sababu ni marekani wanaita NY city,so nai itafute titor nyingine tutaelewekaje???

Wakenya mkiishiwaga sera ni kama mifuko iliyosombwa na tufani.
Ubaya wako unaingilia mjadala katikati bila kujua ni nini kinachoongelewa. Mwenzako ichoboy alisema mnajenga white house kule dodoma kisha nikamkosoa kwa kumwambia kwamba ni wamerekani pekee yao wanaitwa ikulu yao hivyo. Then akaniambia kwamba hiyo si la muhimu na kwamba ikulu ZOTE za rais duniani zimepakwa rangi nyeupe. I was just trying to tell him than not all are painted white. Na hata ni vizuri sana wewe pia umethibitisha kwamba ya S. Korea ina rangi ya blue
 
Back
Top Bottom