Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1708603519811.png
 
Karibu na mbweni, mbona Mbweni kwa middleclass hakuna mall?
Supermarket zipo kibao mbweni na bunju, au ww umeaminishwa sehemu kwenye mall ndio maendeleo 😁😁😁😁

mall Inajengwa kunduchi tena kubwa Sana ya kisasa na na karibu na bunju au mbweni ww ulikua unatakaje

Hii ni moja ya supermarket kubwa mbweni na hatuwez kuita mall ila kwenu ingekua mall tayarπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Screenshots_2024-02-22-15-12-31.png
 
Supermarket zipo kibao mbweni na bunju, au ww umeaminishwa sehemu kwenye mall ndio maendeleo 😁😁😁😁

mall Inajengwa kunduchi tena kubwa Sana ya kisasa na na karibu na bunju au mbweni ww ulikua unatakaje
Kwa uelewa tu. Nairobi zipo Malls ngapi?
 
Back
Top Bottom