Kipindi kile meli zilikua zinakwepa pwani ya msa na somalia,so wakata waanze mazoea ya kuzifuata meli pwani yetu,walipewa mkong'oto na kutoswa majini wakifa huku wakijiona,kuna vishirika vya haki ya binadamu vikataka kianza kuongea ongea vikapuuziwa kwa huko na wale mbwa ikawa ndio mwanzo na mwisho kusogelea pwani yetu,kule goma m23 wanakuambia hawajawahi kuona mtu mkatili kama lt col ayub wanakuambia 2007 vijana wa kitutsi walikufa huku wakijiona chini ya operesheni yake,now lt col ayub yupo goma na slogan yake kunguru apigwe