Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi Street Food 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇
  1. Chipo Mwitu
  2. Chapo Smokie
  3. Mutura
  4. Mayai Pasua
  5. Smokie Pasua
  6. Mahindi Choma
  7. Mahindi Chemsha
  8. Bhajia
  9. Viazi Karai
  10. Njugu Karanga
  11. Samosa (Sambusa)
  12. Mshikaki
  13. Virenjee
  14. Nyama Choma
  15. Kenyan Kebab
  16. Chapati
  17. Sim-sim
  18. Sukari-Nguru
  19. Mabuyu
Smocha is short for Chapo smokie
 
Hao ni vilaza kaka venuc kawapa mfano linganifu lakini bado wanakaza fuvu chukua $100 itumie Kundustan na kiwango hicho hicho $100 njoo Tanzania utumie kwa bidhaa ileile bado mtu anakaza fuvu hawa jamaa ni mbuzi kweli
Unasemaje una higher purchasing power ilhali kwenu kuna higher inflation rate na hata hela ya unga inawashinda kumudu???
Purchasing power ni uwezo wa pesa yako kununua kwa ujazo kijana.
Kenya ushuru wenu ama kodi zenu zinafanana na sisi???
Mie hapa bongo naweza kujenga nyumba ya ghorofa mbili kwa 100k$ dollars na chenji ikambaki ambayo sawa na 240 millions Tsh.
Je kwa hiyo 100k$ dollar unao uwezo wa kujenga ghorofa 2 bungalow kama Tz kwa ubora ule ule????
Embu nijibu hapo kwanza.
 
hawana pesa hao......Ukitoa Mali ya Mo Dewji na Bakhresa GDP yao inachezea 30 hapo
Ukitoa foreign investments nyie mnabaki na nini.? 🤣🤣🤣 Kwasababu hadi gorofa zenye mnapost kila siku ni za wazungu. 🤣🤣🤣🤣hadi mashamba ya maua na chai
 
This food is 50 bob kama sijakosea. Mnakula vitu cheap sana.

Hiyo chips ni chips mwitu tukianzia hapo. Bei is around Ksh 20 bob huku Kenya.
Mtura pia ni 20 bob, si ungenunua mtura full ukule ushibe😂😂
Ni dessert
 
Anae na ana Watoto wakubwa kuzidi wewe.

Hata angekuwa hana,Hatuwezi kubali nyang'au awe mume wa Rais Wetu 🤣🤣

In honour of Tanzania and Mwl.Nyerere👇👇

View: https://www.youtube.com/live/hHxslGxMuz0?si=HJPycD6ebjRLxqWq

You guys get a little over excited with tourists arriving in cruise ships, I guess it’s not a common phenomenon
Such don’t even make the news here

View: https://x.com/kenya_ports/status/1755857099924353060?s=46
 
Hizi ndio huwa mnangoja. Kujengewa na organization ama government. Mtanzania wa kawaida amesota hata kujenga gorofa ya 4floors ni shida.
Kheri yetu twajenga vyetu kivyetu vyetu.
Kuna miji imeendelezwa na raia wa kawaida waswahili.
Mbezi beach,Kijitonyama,Kinondoni,Morocco kote ni raia wa kiswahili wamejenga.
Ila ninyi munasubiri wazungu na wahindi toka nje waje.
I wonder what is your government doing with the taxes of yours!
 
Hizi ndio huwa mnangoja. Kujengewa na organization ama government. Mtanzania wa kawaida amesota hata kujenga gorofa ya 4floors ni shida.
We mpumbavu hizi organization zikijenga Kenya mnakuja hapa kupanua midomo kwamba ooh nyie mko na international influence lakini tujinga sisi imekua nongwa 🤣🤣🤣
 
Look at the number of ships ( excluding cruise ships) docking at the mombasa port in 13 days
1708247257749.png
 
We jamaa usitudanganye.
HIYO CHART ULIOLETA INAELEZEA UAGIZAJI WA NGANO SIO UZALISHAJI WA NGANO.
TANZANIA TUNALIMA NGANO PIA KASKAZINI NA PIA TUNAAGIZA ILA HATUAGIZI KWA WINGI KWASABABU TUNAZALISHA PIA.
NINYI MNAAGIZA KWA WINGI HAMZALISHI
Kenya is a top 10 wheat producer in Africa. Nimewaambia mukipata any data that shows Tangagiza produces more wheat than Kenya nitafunga hii account sahii.
 
Back
Top Bottom