Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Ndio maana kila mtu Ako na kwashiorkor Tanzania.Muhogo wa kuchemsa una afya kuliko wa kukaanga.
Pia muhindi wa kuchemsha una afya pia.
Au haujui kama ATP(Adenine thiophosphate) ukiichanganya na calories nyingi huwa inapungua ufanisi mwilini???
Vyakula vya kuchemsha vina afya.
Yes hata kama tukila kutwa mara tatu ila tunaula muhogo kwa njia tofauti.UMEWAHI KULA MUHOGO WA NAZI ULIOUNGWA NA SAMAKI???