Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We mnuka mavi unazungumzia kuhusu nini? We are your biggest fear in this region. Bcoz we doing better than you in so many fields.. hizo trash talk ni vitu za kawaida tunategemea kuzipata kutoka kwenu, kwasababu indeed sisi ni watesi wenu. Mnatuogopa kama ukoma
lol
 
Juzi kati moja nilipita pale Kawe (Feza girls school) nitachukua picha kadhaa hizi, unaeza ona progress ya 20 buildings U/C, 10 buildings with 18 floors each na zingine 10 buildings with 10 floors each 👇
IMG_20240205_171419_174.jpg
IMG_20240205_171419_174.jpg
 
Huyu anatafuta deportation!
Huyo ni mwana ambae hana shida lakini, na yuko na projects zake hapa Tz( niliona kama anafungua NGO kwaajili ya kupinga ukatili dhidi ya haki za watoto, pamoja na bad practices eg female genital mutilation), u can visit his Instagram page and get to know more about him, he's very funny and he loves Tanzania and Tanzanians, anajiita mbongo wa mchongo. Naona hadi Gerson Msigwa ana comment kwenye posts zake za Instagram.
 
Hii design sio nzuri kuliko ile design ya soko la Mwanza, ila sio mbaya, itabadili ile mandhari ya pale kilombero market. Kuna stendi ya daladala pale inaitwa kilombero pia, hairidhishi kabisa ile sijajua Wana mpango gani nayo.
Nimedokezwa hii ni pedestrians bridge ya kuunganisha soko na stand
20240216_182406.jpg
 
We mnuka mavi unazungumzia kuhusu nini? We are your biggest fear in this region. Bcoz we doing better than you in so many fields.. hizo trash talk ni vitu za kawaida tunategemea kuzipata kutoka kwenu, kwasababu indeed sisi ni watesi wenu. Mnatuogopa kama ukoma
Watanzania wote ni wajinga.


Which field are is Tanzania doing better than Kenya? Support your claim with evidence.
 
Back
Top Bottom