Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

PURCHASING POWER IS THE ABILITY OF YOUR MONEY TO BUY MORE OR LESS DUE TO HIGH OR LOW COSTS.
Watanzania wote ni wajinga.

With high prices still Kenyans buys more. In short Kenyans have higher purchasing power than Tanzanians.
 
Watanzania wote ni wajinga.

With high prices still Kenyans buys more. In short Kenyans have higher purchasing power than Tanzanians.
We kweli fala.
Huu mjadala nishaufunga huna facts.
Na unaleta mipasho pasi na kuthibitisha.
Ingekua unachosema ni kweli raia wasingeandamana kushindwa bei ya UNGA WA UGALI.
Bora sisi tunaandamana sukari haipatikani ila ninyi mnaandamana kwa BEI KUPANDA .
 
Kunyaland ndio public transport sasa 😂😂😂 watanzania wanadharau IST sana lakini laiti wangeenda Nairobi waone vigari vyao wangekubali purchasing power yetu sio ya kubezwa
Huyu jamaa hapa ndio namshangaa.
Kama pesa yao ina nguvu kwao kimanunuzi kwanini walalamike ugali kuwa juu??
ARE YOU DAMN SERIOUS RAIA WANAANDAMANA UNGA WA UGALI UMEPANDA!?
LAMAMAYEEE
 
Both cities are wealthier than your country.
Na bado statehouse yenu inapokea mpaka misaada ya landlords 😂😂😂
Harambee house haina tofauti na ghetto la wahuni ukiwa na buku 3 inakusumbua tu wanaita mpaka media kwaajili yako 🤣
Screenshot_20231202-151055.jpg
 
ARE YOU DAMN SERIOUS RAIA WANAANDAMANA UNGA WA UGALI UMEPANDA!?
LAMAMAYEEE
Watanzania wote ni wajinga.

Did you know that France once did a very serious countrywide demonstration because of bread?
 
There's a reason why Tanzanians are struggling very hard to come to Kenya. Ksh 1000 is enough to do a two months shopping huko Tanzania.

Kenya is like Europe to Tanzanians with Nairobi being London.
Hiyo buku ya kikenya ni 15k ya kibongo hii inatosha kula siku moja kama utajibana lakini hii ni pesa ya msosi wa chana tu. 🤣🤣🤣🤣
 
Hiyo buku ya kikenya ni 15k ya kibongo hii inatosha kula siku moja kama utajibana lakini hii ni pesa ya msosi wa chana tu. 🤣🤣🤣🤣
Wewe hiyo ni shopping Yako ya miezi sita. Considering the kind of food you eat, I can confidently say Ksh 1000 is enough for you for six months.
 
Watanzania wote ni wajinga.

Did you know that France once did a very serious countrywide demonstration because of bread?
Yani miaka 1773 unaifananisha na miaka ya sasa???
Mbona reference yako ya kiduwanzi sana??
Pia ile riot ilikua kwasababu ngano kipindi kile ilikua ni main source of food.
 
Yani miaka 1773 unaifananisha na miaka ya sasa???
Mbona reference yako ya kiduwanzi sana??
Pia ile riot ilikua kwasababu ngano kipindi kile ilikua ni main source of food.
Is ugali not main a staple food in Kenya.
 
Back
Top Bottom