Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe endelea kuosha vidonda mzee.
Mambo ya Uchumi tuachie sisi wabobezi.

Je, Fuel inauzwa dollar ngapi hapo kenya? Tuanzie hapo ili uelewe.

Compare your price to the international currency used for importing ndio utajua power of your currency.
Anadai gharama za maisha Tz ziko juu kuliko za Kenya.
Asa wacha twende taratibu akitoka vyakula tuje usafiri kesha huduma za afya kesha nguo.
 
Wewe endelea kuosha vidonda mzee.
Mambo ya Uchumi tuachie sisi wabobezi.

Je, Fuel inauzwa dollar ngapi hapo kenya? Tuanzie hapo ili uelewe.

Compare your price to the international currency used for importing ndio utajua power of your currency.
Watanzania wote ni wajinga.

The question that you should ask is how much is the fuel landing in Kenya. Not how much it's being sold.
 
Na ndivyo inavyotakiwa.
GHARAMA ZA MAISHA ZINATAKIWA KUWA NYEPESI KWA RAIA.
Unachopata kitosheleze kuendeleza maisha yako.
Sio unazalisha pesa kubwa halafu haina nguvu ya kukutosheleza kimahitaji .
Your people just have low purchasing power. Mkenya akija Tz akiwa na Pesa za Kenya anakuwa tajiri mara Moja.
 
Watanzania wote ni wajinga.

The question that you should ask is how much is the fuel landing in Kenya. Not how much it's being sold.
That is your problem mzee. We all buy fuel in US dollar but we sell in Tanzania Tsh in Kenya Ksh.
So tell us how much do you sell your fuel in your country in USD?
 
Anadai gharama za maisha Tz ziko juu kuliko za Kenya.
Watanzania wote ni wajinga. Kumbe hujielewi?

Tulikuwa tunaongelea purchasing power which you have agreed that Kenyans have a higher purchasing power.
 
Your people just have low purchasing power. Mkenya akija Tz akiwa na Pesa za Kenya anakuwa tajiri mara Moja.
Hili somo lishakushinda.
Hata mmarekani akienda China anakua tajiri kwa hela yake tena sana.
Je hiyo hela yako inakuwezesha kuishi kwa gharama nafuu ukiwa Kenya???
Labda nikurahisishie,kwa mshahara unaopata unaweza kutanua kama sisi Tanzania tunavyotanua kimatumizi???
 
So tell us how much do you sell your fuel in your country in USD?
Watanzania wote ni wajinga. Kwa hao wajinga wengi ni vichaa, waliobaki wanatumia 1% of their brain to reason.

How can you compare the selling price when taxes are not the same? Ama Kenya na Tanzania have same taxes on fuel?
 
Watanzania wote ni wajinga. Kumbe hujielewi?

Tulikuwa tunaongelea purchasing power which you have agreed that Kenyans have a higher purchasing power.
Huelewi maana ya purchasing power.
Hili somo lishakushinda.
 
Hili somo lishakushinda.
Hata mmarekani akienda China anakua tajiri kwa hela yake tena sana.
Je hiyo hela yako inakuwezesha kuishi kwa gharama nafuu ukiwa Kenya???
Labda nikurahisishie,kwa mshahara unaopata unaweza kutanua kama sisi Tanzania tunavyotanua kimatumizi???
Mkenya akija Tanzania anakuwa tajiri immediately.
 
Hii side ya zanzibar huwa hatuonyeshwi
ZANZI.jpg
 
we love visiting tz because its a damn cheap travel destination...lol
Yeah, because of our purchasing power we can afford to do everything doable in Tanzania. That can't be said of them wakija Kenya.
 
Watanzania wote ni wajinga. Kwa hao wajinga wengi ni vichaa, waliobaki wanatumia 1% of their brain to reason.

How can you compare the selling price when taxes are not the same? Ama Kenya na Tanzania have same taxes on fuel?
Unakoelekea unajitia kitanzi mwenyewe.
Embu uache.
Serikali yenu inafanya nini mpaka inashindwa kurahisisha gharama za mafuta kuanzia kwenye uagizaji mpaka masuala ya kodi??
Tanzania tulitoa ruzuku ya mafuta ila haikufikia ruzuku ya mafuta mliotoa ninyi ila still mafuta kwenu yakawa bei zaidi.
Huoni kama kuna shida hapo??
 
ke
There's a reason why Tanzanians are struggling very hard to come to Kenya. Ksh 1000 is enough to do a two months shopping huko Tanzania.

Kenya is like Europe to Tanzanians with Nairobi being London.
nenya ya kibera au? si useme kariakoo imekuwa china yenu siku hizi usijisikie aibu kusema. Niko na nyang'au mmoja hapa namtembeza kwenye amduka ya jumla anaokoteza kwa tonny touch hapa usije fanya akakimbia.
 
Back
Top Bottom