Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unakoelekea unajitia kitanzi mwenyewe.
Embu uache.
Serikali yenu inafanya nini mpaka inashindwa kurahisisha gharama za mafuta kuanzia kwenye uagizaji mpaka masuala ya kodi??
Tanzania tulitoa ruzuku ya mafuta ila haikufikia ruzuku ya mafuta mliotoa ninyi ila still mafuta kwenu yakawa bei zaidi.
Huoni kama kuna shida hapo??
wakati ofisi ya serekali imehamia kwenye ndege siku hizi nchi inaongozwa ugenini hatulii kama kuku anayetaka kutaga.
 
Yaani mnangoja serikali iwajengee 16 buildings? Bunch of lazy dudes. In Kenya hio ni kazi ya private sector, I know of more than 10 high rise buildings (15+ floors) that have broken ground today in Nairobi alone, none of them is being built by the government
Serikali ya kenya inakata mishahara ya wafanyakazi ili kujenga nyumbani hilo vipi,?acha upuzi.
 
Hicho ni chakula au routine ya mitishamba? Tanzania ndio penye masotojo

View attachment 2906922
dar 1.jpg
 
we love visiting tz because its a damn cheap travel destination...lol
dream destination ya kila mkenya haahaa kila goti litapigwa enjoy nyama za msiba wa lowasa ngombe 169 hizo sio kuku mzee mje tz kujifunza ulaji wa nyama na sio picha.
 
Watanzania wote ni wajinga.

Purchasing power of a person is the ability to buy a product at a higher price.
WE KWELI FALA.
PURCHASING POWER IS THE ABILITY OF YOUR MONEY TO BUY MORE OR LESS DUE TO HIGH OR LOW COSTS.
Yani uwezo wa pesa yako kununua sana au kidogo kulingana na eidha gharama kuwa juu au chini.
The higher it costs the less you buy.
The low it costs the more you buy.
 
Because we can afford to buy things in Kariakoo. We high purchasing power unlike Tanzanians that are poor like church rats.
kwani lile soko la buruburu haliwasaidii kila goti litapigwa tz ngoja tufungue na mall ya ubungo msijali tutawarahishia.
 
Sijakataa hata Mmarekani akienda China anakua tajiri immediately.
Thanks for accepting the fact. So in short mtu wa Kibera akija Tanzanian akiwa tajiri immediately? 😂😂🤣👏👏👏
 
Karne hii bado Nairobi inaoperate kwa maji ya madumu, Dodoma tu hii bizarre huioni

View attachment 2906929View attachment 2906931View attachment 2906932View attachment 2906933
Yani from this picture of Kibera you can clearly see how these people have a good life compared to Tanzania. From your screenshot just look the kind of roads in Kibera, that quality hata huezipata in Dar CBD. Again look at those electric poles in every house, remember only 37% of Tanzanian households are connected to electricity.
 
Thanks for accepting the fact. So in short mtu wa Kibera akija Tanzanian akiwa tajiri immediately? 😂😂🤣👏👏👏
Je hiyo pesa yake huko Kibera inamuwezesha kununua kwa wingi kama akija Bongo????
Jibu hapana..
Wakenya mna maisha magumu sana.
Mnachozalisha bado hakitoshi kukidhi mahitaji yenu licha ya kujinasibu mna hela yenye thamani.
 
Back
Top Bottom