Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

witch craft and sorcerers... 😁 😁
Nadhani ni muda wa kuweka empty talks na kuanza kukunyima amani, sisi tulishatoka kwenye maneno ni vitendo tu 👇
GDrA3GmWUAATpYR.jpeg
umeliona joka hilo.? 😂😂👇
Screenshot_20240112-214231.png
.. BRT phase 3 👇
1000028386.jpg
while nyie hamuna chochote 😂😂😂😂. BRT yenyu hii hapa 👇
Screenshot_20231011-112353_2.png
😂😂😂 a.k.a BRT ya kupaka
 
Nadhani ni muda wa kuweka empty talks na kuanza kukunyima amani, sisi tulishatoka kwenye maneno ni vitendo tu 👇View attachment 2906364umeliona joka hilo.? 😂😂👇View attachment 2906365.. BRT phase 3 👇View attachment 2906366while nyie hamuna chochote 😂😂😂😂. BRT yenyu hii hapa 👇View attachment 2906367😂😂😂 a.k.a BRT ya kupaka
Seriously Sama boi hii train itatumia nini… and please don’t mention electricity 🤣🤣🤣🤣….. maybe kuni😁
 
Seriously Sama boi hii train itatumia nini… and please don’t mention electricity 🤣🤣🤣🤣….. maybe kuni😁
Suala la umeme hiyo treni iko na umeme wake maalum uliotengwa kwaajili ya hizo treni tu ..wala hautawahi kuskia kuhusu kusitishwa kwa huduma za train eti kwasababu umeme umekatika. Let's wait and see, soon tunaanza kàzi.. nakukaribisha bongo uje ushangae kwa mara ya kwanza kwasababu najua hata huko US hakuna train za kuchongoka a.k.a bullet trains. 😂😂😂
 
I promise to visit Bongo and ride on your train… the question is when.. you keep promising tomorrow and next year … hii mpaka 2030 sijui..🤣🤣🤣
 
16 new high rise buildings to be built in Kariakoo this year, hii hapa NHC yaweka sahihi kwenye miradi hiyo tayari kuanza 👇
View: https://youtu.be/Gj9pDVTa3Kk?si=B8rB62hujMxfuK5p. We kima Teargas najua hizi ndio habari haupendi kuziskia 😂😂😂

Yaani mnangoja serikali iwajengee 16 buildings? Bunch of lazy dudes. In Kenya hio ni kazi ya private sector, I know of more than 10 high rise buildings (15+ floors) that have broken ground today in Nairobi alone, none of them is being built by the government
 
these tanzanians shida they can't afford to travel outside tz.....hata projects za Board of management ni kitu ya ajabu kwao
 
Tuko kwenye age ya Ai ila kizungu kinakuzungusha kweli! si uandike tu katika lugha unayo conform nayo jameni , comprende? 😂
View attachment 2906336
Mnapigwa K.O mmeona muhamishe goal post kwa kushadadia lugha ya watu kama kawaida yenu, yani utumwa upo kwenye damu ya mkenya, jibuni hoja wanuka mavi nyie 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yaani mnangoja serikali iwajengee 16 buildings? Bunch of lazy dudes. In Kenya hio ni kazi ya private sector, I know of more than 10 high rise buildings (15+ floors) that have broken ground today in Nairobi alone, none of them is being built by the government
Unajua majengo mengi yanayojengwa Kenya na wachina yanamilikiwa na makampuni ya serikali ya china?
 
Back
Top Bottom