Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado hamjapata courage. Mtafika hapo tuu. Sisi tuliaanza kuandamana tupate Kariba mpya mwaka wa 1989. Tulikuja kuipata 2010. Jipeni about 21 years mtapata Katiba mpya. Ongezeni another 10 years mtaanza kuandamana juu ya high cost of living. For now bado Ni mazuzu mnanyanyaswa tu mkiangalia.
Ninyi na katiba mpya na chaguzi mpaka za marudio (most expensive election in Africa) mliyofanya na maandamano ya ugali mpaka wengine mkauawa lakini bado mnapigwa mnada kwenye fifth world countries kwa bei ya jioni kama mbuzi meee
20230824_070350.png
 
Hii design sio nzuri kuliko ile design ya soko la Mwanza, ila sio mbaya, itabadili ile mandhari ya pale kilombero market. Kuna stendi ya daladala pale inaitwa kilombero pia, hairidhishi kabisa ile sijajua Wana mpango gani nayo.
Nashangaa kwanini hawajaiweka nayo sababu duh pako kama Naislum pale stand
 
M23 ni Rwanda na Uganda ipo kwa mbali, mimi sio mshabiki wa mambo ya vita lakini sina matumaini na mambo ya ukombozi wa Africa and blah blah blah, tumesaidia nchi nyingi za Africa mpaka nyingine zikatupita kiuchumi huku tukibaki na udumavu na makovu

Rwanda ni mtumiaji mkubwa wa bandari yetu akitoka DRC unafikiri na sasa mganda, haya mambo ya mavita hayatupi uchumi wowote hata thumni kama tukiwaacha wapigane wenyewe wauane sisi tijikite kwenye biashara ya bandari yetu tu.



View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1758412412728770868?t=s8lIUdeS5EuzihxI6BHEkw&s=19
 
Back
Top Bottom