Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Arusha City Market

20240216_182409.jpg
20240216_182406.jpg
20240216_182404.jpg
20240216_182402.jpg
 
Lakini hawaandamani kudai ugali kama wale wajaluo
Bado hamjapata courage. Mtafika hapo tuu. Sisi tuliaanza kuandamana tupate Kariba mpya mwaka wa 1989. Tulikuja kuipata 2010. Jipeni about 21 years mtapata Katiba mpya. Ongezeni another 10 years mtaanza kuandamana juu ya high cost of living. For now bado Ni mazuzu mnanyanyaswa tu mkiangalia.
 
Sawa tutapata courage lakini sio ya kudai ugali
 
Bado hamjapata courage. Mtafika hapo tuu. Sisi tuliaanza kuandamana tupate Kariba mpya mwaka wa 1989. Tulikuja kuipata 2010. Jipeni about 21 years mtapata Katiba mpya. Ongezeni another 10 years mtaanza kuandamana juu ya high cost of living. For now bado Ni mazuzu mnanyanyaswa tu mkiangalia.
KiberaWalker 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom