Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,946
- 34,994
View: https://youtu.be/RdD8zDiVgxg?si=wtE0Eep-P3wkgltv SADC hawatoi update zozote za huko congo ila kichapo wanachotoa ni mbwa koko
🙏🙏 good progress.
Miaka ya nyuma ulikuwa huwezi Iona Tanzania (Dar) kwenye list.Kwa Sasa tumo 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C3Zk_QroZxM/?igsh=cHQ0cHBteWM5dGUz
Tufanye Kambi ya wavuvi ya Mombasa ni Bora kushinda Dar, Casablanca,Abuja na Johannesburg 😁😁Behind Mombasa.
You posted the list yourself sasa mbona unataka kulia? 😂 😂Tufanye Kambi ya wavuvi Cha Mombasa ni Bora kushinda Dar, Casablanca,Abuja na Johannesburg 😁😁
Meli 5 zimemimika na kumwaga maelfu ya Watalii 🔥🔥
View: https://www.instagram.com/p/C3YdIgBLSda/?igsh=MTJqdWp3MXdzaXRxZg==
My Take
Wakunya mtatukoma mwaka huu 🤣🤣
View: https://www.instagram.com/p/C3ZrYo1o6EO/?igsh=MWpxZHF0c2FueWVwaw==
Tanzania tuna fukwe kubwa mno kuanzia Mtwara Hadi Tanga to Zanzibar Islands.Jambo zuri sana kuliko wanavyokaza shingo kutangaza utalii wa znz na kuacha kutangaza hata serengeti
Kweli hatuwarishi 👆bali tunawalisha na tutaendelea kuwalisha kwa muda mrefu tuu.Mtu asiwai niambia 'tunawarisha' tena humu.🤣🤣
Temporary respite due IMF and WB handouts plus recently issued bond of 1.5bn.
Nini 'huerewi' wewe 'bongorara'. 😂😂Kweli hatuwarishi 👆bali tunawalisha na tutaendelea kuwalisha kwa muda mrefu tuu.
Tunasubiria ahadi ya Sanamu ya Nyang'au Kenyatta kujengwa 😁😁😁
View: https://www.instagram.com/p/C3Z0tYwq2TR/?igsh=MXM0d2JnbHUzbDRy