Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tag me the day those people will be deported to Tanzania, those are your fellow Kenyans that's why you say the same thing year in year out while no any actions have been made by your government.
 
Wafuga kuku utawaona wapi mzee ulikua Dar kwa siku tatu.? 🤣🤣🤣 Kumbe DAR ni ndogo hivyo uliweza kufanya ziara ya nyumba hadi nyumba na ukagundua hakuna wafuga kuku? 🤣🤣🤣
Majirani zangu wote wanafuga kuku.
Trust me if 98% of a population rears chickens then i don’t even need a whole day to notice. Right out of the airport, it should be noticeable,
Jamaa yako katumia neighbours wake kama sample study for the whole of Tanzania 😂😂😂
Kuna somo la hisabati huko kwenu? 😂😂
 
Tag me the day those people will be deported to Tanzania, those are your fellow Kenyans that's why you say the same thing year in year out while no any actions have been made by your government.
Even BBC is working with kenyan government to “fake” that these are Tanzanians.
It’s a sad situation but don’t live in denial my friend. This is the sad reality
IMG_9156.jpeg

View: https://youtu.be/sz8ZyCmV0N8?si=-InbO3N1aOCn51Ie
 
Trust me if 98% of a population rears chickens then i don’t even need a whole day to notice. Right out of the airport, it should be noticeable,
Jamaa yako katumia neighbours wake kama sample study for the whole of Tanzania 😂😂😂
Kuna somo la hisabati huko kwenu? 😂😂
Kweli we ni chizi kweli unataka kuona kuku airport.? Au uendeshe gari kwa high way uone kuku njiani (barabara ya airport hadi town ni industrial area and hopefully umeiona) ulitaraji kuona kuku .? Upite city center hadi kufika masaki (ulipost fikizia) uone kuku.? 🤣🤣🤣🤣 Wonders shall never end. Kweli we ni chizi wewe
 
Trust me if 98% of a population rears chickens then i don’t even need a whole day to notice. Right out of the airport, it should be noticeable,
Jamaa yako katumia neighbours wake kama sample study for the whole of Tanzania 😂😂😂
Kuna somo la hisabati huko kwenu? 😂😂
Andika kwa Lugha ya Kikuyu. Hueleweki ulichoandika 🤣 🤣 🤣 mwaka 2021 Tanzania ilikuwa na kuku 100,000,000 +
Hutaki?
 
Mimi mwenyewe nimejiajiri kwenye kilimo hata sinampango wa kuwajiriwa nipo Ko Tanga nalima mkonge mashamba tumegaiwa na serikari yetu ili tumiliki uchumi wetu nyie lini mligaiwa mashamba na serikali yenu na wakati Rais wenu anazurura Dunian I kuwatafutia umanamba
Tanzania kuna namna nyingi ya kusaka tonge.
Mie sijaajiriwa ila natengeneza pesa nzuri kukushinda na naishi vizuri kupitia ufugaji wa samaki ,ng'ombe na kilimo .
Ardhi ndio silaha kubwa ya maendeleo Tanzania kitu ambacho Kenya hamuna na hamkielewi.
 
Even BBC is working with kenyan government to “fake” that these are Tanzanians.
It’s a sad situation but don’t live in denial my friend. This is the sad reality
View attachment 2904052

View: https://youtu.be/sz8ZyCmV0N8?si=-InbO3N1aOCn51Ie

Sasa mzee huoni hata hapo imeandikwa "Trafficked kids" 🤣🤣🤣🤣

What is child trafficking? Trafficking is where children and young people tricked, forced or persuaded to leave their homes and are moved or transported and then exploited, forced to work or sold.
 
Sema wakundustan ulaya yao ni Tanzania 😂😂😂 mpo obsessed na Tanzania kuliko hata watanzania 😂😂😂

View attachment 2903470
Hii ni kweli juzi weekend nimekutana na wakenya zaidi ya 10 masaki. Walikuwa wanasema wamekuja kupata relief na kupunguza stress za kuishi Kenya. Wanaikubali Tanzania ile mbaya Hawa wakenya wa humu sijui ni WA wap
 
Hili dude nilishawahi kulipanda 2020, kutokea bukoba kuja Mwanza, nilikua naishi sehemu wanapaita Kiakairabwa huko Bukoba (kama sijakosea) niliishi hapo kwa miezi miwili na wiki moja, sehemu patamu sana bukoba, yo to be honest Watanzania ndio raia wanaosafiri sana locally kuliko nchi yoyote hapa Afrika mashariki na kati si kwa kusafiri kwa meli, boti, vivuko, mabasi, private cars, treni n.k .. kiukweli huku sidhani hata kama South Africa anatuweza.
 
Sotojo au Kapile la hatari utawauwa kundustan
Tz local cuisine ni balaa we matako Teargas and they're expensive than that broiler kukus of KFC. Hapa DSM kuhusu msosi usiguse kabisa yaani kaa mbali, this is Swahili City utakutana ni mixer ya vitu za kiarabu everywhere, sisi hatukuli mutura sijui shit gani huko. Hii dish ni 50k 👇
View: https://www.instagram.com/reel/C3Hwzu6IufA/?igsh=MTc4MmM1YmI2Ng==. Tz money wala si hotelini ni restaurant ya kawaida tu 👇
View: https://www.instagram.com/p/C3RwHd9ooB6/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==. We are far better than you watu wa porini, uliskia wapi mtu wa mapori awe mjanja kuliko raia wa pwani.? Tena kuhusu kula.? 🤣🤣🤣 Haijawahi kutokea ulimwenguni.
 
Mimi mwenyewe nimejiajiri kwenye kilimo hata sinampango wa kuwajiriwa nipo Ko Tanga nalima mkonge mashamba tumegaiwa na serikari yetu ili tumiliki uchumi wetu nyie lini mligaiwa mashamba na serikali yenu na wakati Rais wenu anazurura Dunian I kuwatafutia umanamba
Kaka ndicho nilichojaribu kumuelezea huyo jamaa hapo.
Tanzania kuendesha maisha ni rahisi sana aisee.
Ila Mkenya anachukulia maisha bora ni maghorofa na fly overs.
Mie siwazi mboga wala chakula na mifugo hiyo hiyo inaniingizia kipato.
Wakuje kigamboni niwauzie sato na sangara wa bwawa bei chee ng'ombe wa kilo 150+ ntawapa kwa laki nane tu.
 
Back
Top Bottom