NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,048
- 19,248
Wacha nikasirishe watu kidogo.
Hii ukiipeleka Tanzania inatopple Masaki as the most luxurious neighborhood. Kumbuka hata haiko Nairobi City Proper.Syokimau,Nairobi metropolitan. Not the ugly west Africa uniform style roofings!!! Planning imeenda shule.
Young nairobian areas.
View attachment 2903509View attachment 2903511View attachment 2903512
Leo umejitepa meaisa Sadima Dickson 🤣🤣🤣🤣. Kumbe hizi gorofa pia ni Chinese owned, local individual wanamiliki nini hapo kenya? 🤣🤣🤣Look what Chinese are doing outside of Nairobi … this Athi River and it’s not even a quarter of their investment… and all sold out!.. more coming
View attachment 2903462View attachment 2903463
Unataja taja tu masaki we mbwa 🤣🤣🤣.Hii ukiipeleka Tanzania inatopple Masaki as the most luxurious neighborhood. Kumbuka hata haiko Nairobi City Proper.
🤣🤣🤣🤣🤣 We jamaa mbona unaishi kwenye Dunia ya mawazo sana.? Kwamba Kenyans ndio wanaongoza kulima in Arusha? 🤣🤣🤣 Umepata wapi hii maneno manzee.?mamako ndio alipeleka 300k ......but even so we still export the highest skilled force to other African countries and all over the world. Most teachers and farmers in Botswana and Namibia are Kenyans.Most farmers in Arusha region are also Kenyans.....we just use proxies. Most academic writers in Africa are also Kenyans....we are jack of all trades
Na kenyaNyinyi mnashindana na nchi gani kuomba pesa barabarani?
Pia mnashindana na nchi gani kuuza dawa za kulevya in other people's countries?
Acheni kuwakana wakenya wenzenu kisa ni mafukara na maombaomba na kuwapa uraia wa nchi nyingineMbona wewe usiulize wale jamaa wako wenye wamejaza Nairobi streets begging for money? Ama wewe ni mmoja wa hao omba omba?😂😂😂
Tanzania vacation ni Kila siku sio kama Kenya mbaka mjidundulizeWatanzania watoke pesa wapi ya kufanya domestic tourism? Hata huko kwao ni wakenya ndio wameshikilia their tourism industry.
Nilishakufundisha kijana kiswahili sio kiarabu ila kuna misamiati imetoholewa ya kiarabu kuja kwenye kiswahili.Kwani siku hizi watanzania ni warabu?😂😂
We husomi ukaelewa.Yani you are so confused hata hujui ni nini unaandika😂😂😂.
Is this not you?👇👇👇😂😂😂
Tanzania kuna namna nyingi ya kusaka tonge.Nyinyi hamtafutiwi na pia hamna ajira nyumbani. Kazi ni tu exportation of beggars and drug traffickers.
Ndio Swahili is a Tanzanian word au unataka tukuthibitishie kwa utaalam wa lugha?Is "Swahili" a Tanzanian word?😂😂😂😂
Alot of people watch Azam in Kenya.Who watches Azam in Kenya?
Having an office in Nairobi is “owning Kenya”? 😂😂 you really wanna go there? How many Kenyan corporations are in Tanzania and vise versa?
Did you even watch the first video? That’s a Ugandan youtuber who moved to kenya 7 months ago and has stayed in Kenya because his YouTube career skyrocketed in kenya. and in that video he goes to Uganda for a 1 week job only to fly back 😂Wakenya washamba kweli. 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 Mtu yupo na freedom kwenda au kuondoka kwenye nchi
View attachment 2903362