Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dodoma

View: https://twitter.com/UhondoTV/status/1757668293718991288?t=cVoA9ELpWbh8HD2NIiTo2g&s=19
-734442678.jpg
-928051851.jpg
497700624.jpg
 
Juzi kati nilikuwa shamba nipost kuku humu nikawauliza ni bei gani huko Kibera hamkujibu leo hii unatutambia kuwa kula KFC ni utajiri mm nina hekta 12 za mkonge bila malipo yoyote serikalini bure kabisa na humo napanda mazao mchanganyiko watuonyeshe mamba ya
Kaka ndicho nilichojaribu kumuelezea huyo jamaa hapo.
Tanzania kuendesha maisha ni rahisi sana aisee.
Ila Mkenya anachukulia maisha bora ni maghorofa na fly overs.
Mie siwazi mboga wala chakula na mifugo hiyo hiyo inaniingizia kipato.
Wakuje kigamboni niwauzie sato na sangara wa bwawa bei chee ng'ombe wa kilo 150+ ntawapa kwa laki nane tu.

o wanayomiliki
 
Kweli we ni chizi kweli unataka kuona kuku airport.? Au uendeshe gari kwa high way uone kuku njiani (barabara ya airport hadi town ni industrial area and hopefully umeiona) ulitaraji kuona kuku .? Upite city center hadi kufika masaki (ulipost fikizia) uone kuku.? 🤣🤣🤣🤣 Wonders shall never end. Kweli we ni chizi wewe
The fact that you cannot transcribe the whole point proves what I’ve been talking about , Mayo! 😂
 
Kweli we ni chizi kweli unataka kuona kuku airport.? Au uendeshe gari kwa high way uone kuku njiani (barabara ya airport hadi town ni industrial area and hopefully umeiona) ulitaraji kuona kuku .? Upite city center hadi kufika masaki (ulipost fikizia) uone kuku.? 🤣🤣🤣🤣 Wonders shall never end. Kweli we ni chizi wewe
Alitegemea kuona kuku wanatembeatembea nje masaki😄
 
Andika kwa Lugha ya Kikuyu. Hueleweki ulichoandika 🤣 🤣 🤣 mwaka 2021 Tanzania ilikuwa na kuku 100,000,000 +
Hutaki?
And with your population of 67million, that translates to 98% or what’s your logic there
 
Sasa mzee huoni hata hapo imeandikwa "Trafficked kids" 🤣🤣🤣🤣

What is child trafficking? Trafficking is where children and young people tricked, forced or persuaded to leave their homes and are moved or transported and then exploited, forced to work or sold.
Finally you have accepted reality. The sooner you accept, the sooner you start fixing those problems.
 
Aaa
Juzi kati nilikuwa shamba nipost kuku humu nikawauliza ni bei gani huko Kibera hamkujibu leo hii unatutambia kuwa kula KFC ni utajiri mm nina hekta 12 za mkonge bila malipo yoyote serikalini bure kabisa na humo napanda mazao mchanganyiko watuonyeshe mamba ya

o wanayomiliki
Aaaah wapi ardhi ya Kenya ni ya Mama ngina tu and Coo.
 
Alitegemea kuona kuku wanatembeatembea nje masaki😄
🤣🤣🤣🤣🤣 .
Daaah la mamayeee hawa wakenya bhana.
Atembee Chanika,Kigogo sokoni,Pugu,Temeke,Kigamboni kote huko watu wana mashamba sio mabanda bali mashamba ya kuku wa kienyeji
Embu ngoja siku nijipange nimpigie picha nimuoneshe .
 
Back
Top Bottom