Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni mjinga na utabaki kuwa mjinga.
View attachment 2900488
Uyo mwenzio anachukulia yeye akiwa na pesa aki credit manaake katoa na aki debit manaa ake kaingiza, basi ndo anadhani banks nazo zinafanya hivyo, kumbe banks zinafanya vice versa ili kukamilisha double entry system 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yani siamini kama jamaa hana anachokijua kuhusiana na mambo ya bank account 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hadi mwenye anaweka pesa chini ya kitanda anaongelea bank account. A poor watchman like you mwenye anapanga lakini hili alipwe mshahara ananiambia nini kuhusu bank account?🤣🤣😂🤣.

Again for your information I got grade A in business exam so hakuna kitu unaniambia kuhusu banking.
 
Uyo mwenzio anachukulia yeye akiwa na pesa aki credit manaake katoa na aki debit manaa ake kaingiza, basi ndo anadhani banks nazo zinafanya hivyo, kumbe banks zinafanya vice versa ili kukamilisha double entry system 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Watchman watchman. Tangu lini unajua mambo ya banking you idiot?
 
Hadi mwenye anaweka pesa chini ya kitanda anaongelea bank account. A poor watchman like you mwenye anapanga lakini hili alipwe mshahara ananiambia nini kuhusu bank account?🤣🤣😂🤣.

Again for your information I got grade A in business exam so hakuna kitu unaniambia kuhusu banking.
Wewe ni mjinga aisee, umenishangaza sana leo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Pesa ni vitendo siyo maneno matupu.
Show us your driving license kwanza kisha tupatie card ya gari unayo own.
So driving license ndio pesa?😂😂🤣🤣. Driving license inamilikiwa hadi na wenye hawana baiskeli.

Why are you always this stupid?
 
Tz ni wanagenerate 1889MW ,Available 1200MW ,demand 1430MW...tunauhaba wa 230MW kwa sasa...ila tumeelekezwa kua Nyerere Hyro electric Dam itatuongezea 2115MW ...So kama kila kitu kitaenda sawa mwaka huu tunapindua meza...labda mtatuzidi kwenye matumizi sio uzalishaji
Issue kubwa sometimes huwa ni grid , ndo maana walisign project ya grid stabilization ya 1.9 trillion tsh sijui imefika wapi? kama JNHPP ikianza issue ya supply itakuwa solved
 
Juu nimekushinda na Pesa? Ama ni vile nafanya kazi poa kukuliko?😂😂🤣
Sasa wewe ulikuwa unasoma, umeanza kazi juzi tu hapa, miaka yote hiyo nakuburuza mpaka unaleta pesa za mtandaoni humu au umenisahau, na nilikuwa nasema cku zote haka kamaskini kakipata kazi hatutapumua humu katataka kushindana na kila mtu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Good morning to all the Tanzanian dunderheads in the buildings.

For your information if you take a loan and that loan is directed into your account, it's said that your account is credited with a loan from so and so. Again why were you so angry when I said that unatuonyesha loans😂😂😂
Kwan kuwa na loans ni kitu kibaya? Loans are for private and business development.

Hizi loans zenyewe hapa chin kama si limit ya serikali ya 1/3 kwenye account yangu ya mshahara ningechukua loans nyingine ili wazisombe zote mana sina matumiz nazo sana (mwanzo nilianza na NMB, sasa ninaelekea kuumaliza, nimeongeza na CRDB juzijuzi).
Kwangu mshahara sio muhimu mana nina acc nyingine ya biashara na "position duni" niliyonayo ina posho nyingi sana
Screenshot_20240211-103553_WPS Office.jpg
Screenshot_20240211-103620_WPS Office.jpg

Kuhusu hii mishahara, nina miaka almost 6 serikalin, na bado kuna cheo nakisubiria cha kumfanya maamuz ya kumuharibia mama kipenz cha ChoiceVariable 😎😃 (joke)

Joke nyingine, pengine hio kodi yangu (PAYE) ya mshahara wangu ndo mshahara wako
 
Kwan kuwa na loans ni kitu kibaya? Loans are for private and business development.

Hizi loans zenyewe hapa chin kama si limit ya serikali ya 1/3 kwenye account yangu ya mshahara ningechukua loans nyingine ili wazisombe zote mana sina matumiz nazo sana (mwanzo nilianza na NMB, sasa ninaelekea kuumaliza, nimeongeza na CRDB juzijuzi).
Kwangu mshahara sio muhimu mana nina acc nyingine ya biashara na position duni niliyonayo ina posho nyingi sana
View attachment 2900501
View attachment 2900503
Kuhusu hii mishahara, nina miaka almost 6 serikalin, na bado kuna cheo nakisubiria cha kumfanya maamuz ya kumuharibia mama kipenz cha ChoiceVariable 😎😃 (joke)
Hawezi weka Salary slip hapa. Atakuletea Transactions za kulipia ubar 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom