Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa huo mshahara unaishi vema kwa gharama inayoeleweka??
What makes you think a six figure salary isn't enough for me? If I say six figures I mean Kenyan shillings and not your weak currency.
 
Juu nimekushinda na Pesa? Ama ni vile nafanya kazi poa kukuliko?😂😂🤣
Eti "juu nimekushinda na pesa" 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mm na wewe tumeongelea pesa saa ngp ukiacha mwaka 2022 nilipokupelekea moto mpk
Mbona nishindane na mwenye naezalisha mwaka mzima kama wewe?
Ndo nakwambia usishindane na watu wamekuzid kila kitu utaumia mnuka mavi 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Thanks for dreaming big 😂😂😅.

Umekazana na penye nilishatoka kitambo sana. When you are on demand people just struggle for your services.😂😂😂

View attachment 2900583
Je hiyo Ksh 39,000.00 ya hapo Sai iliongezwa? As I know hiyo ndio ili kuwa first employment.
So tell us your current salary from Ksh 39,000.00 is added by which percentages?
 
Eti "juu nimekushinda na pesa" 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mm na wewe tumeongelea pesa saa ngp ukiacha mwaka 2022 nilipokupelekea moto mpk

Ndo nakwambia usishindane na watu wamekuzid kila kitu utaumia mnuka mavi 🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe umenishinda tu na ujinga na umaskini. Kwanza umeosha sare zako za watchman?
 
Thanks for dreaming big 😂😂😅.

Umekazana na penye nilishatoka kitambo sana. When you are on demand people just struggle for your services.😂😂😂

View attachment 2900583
Si mmeona hapa kamekubali kwamba ni kaosha vidonda na mishipa, kanalipwa chini ya TZS 500,000 monthly 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
I have three banks account, CRDB 1 and NMB 2.
Na zote hata muungane na boss wako hamuwezi zisogelea kwenye debit and credit transactions.
Wewe hakuna kitu uko nayo😂😂😂. You are burdened by loans left, right and center.
 
Si mmeona hapa kamekubali kwamba ni kaosha vidonda na mishipa, kanalipwa chini TZS 500,000 monthly 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wapi penye payment inaonyeshwa in that resignation letter?😂😂😂😂.

For your information, I resign from jobs while wewe huwa unafutwa kazi due to your incompetency 😂😂😂
 
Back
Top Bottom