Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Soja The best 007 whatever I posted is just my salary of two months. So nikisema i can feed your entire village with my salary usipinge😂😂

Because you are dunderhead, let me teach you something about banking.

Credit= Money paid into your A/C
Debit = Money removed from your A/C
Balance = Credit -Debit.
Bank Statement= Debit + Debit + Balance within a specific time.

In my case I only showed Credit (What got paid into my account within a period of two months). I blocked both Debit and Balance for a reason.😊
Daahh kazi tunayo kweli kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hii picha nilipiga way back sana. Wakati najitafuta nadhani ilikua 2020 .. and by the way hiyo jiko hapo ni 70k (double plates, Kodi Tek) nilinunuaga Arusha those days, meza 60k, mtungi wa gesi na gesi yake ni 115k.. so hiyo kitchen yangu ilikua ni around 245k.

Sasa kama pesa yako ya vocha ni hiyo then congratulations 🤣🤣🤣Mimi siwezi kudanganya mzee wangu 🤣 🤣🤣
Hivi amepost statement au bado anaziba ziba na emojis kibao! 😂😂😂
Kuna ugumu gani yeye kupost statement kwa mfumo kama ule nilio post mimi!
Aliona credit and debit kwenye account yangu akasema niko na loan.
Hajui maana ya credited and debited kwenye bank account halafu anajisifia anajua kingereza.
 
Soja The best 007 whatever I posted is just my salary of two months. So nikisema i can feed your entire village with my salary usipinge😂😂

Because you are dunderhead, let me teach you something about banking.

Credit= Money paid into your A/C
Debit = Money removed from your A/C
Balance = Credit -Debit.
Bank Statement= Debit + Debit + Balance within a specific time.

In my case I only showed Credit (What got paid into my account within a period of two months). I blocked both Debit and Balance for a reason.😊
Unaita The best 007 dunderhead wakati wewe ndo dunderhead!
Angalau sasa unafahamu maana ya credited and debited kwenye account, Pongezi kwa Babayao255 na Google.
IMG_4238.jpeg
 
Installed capacity in 2022 was 3,321.3MW.
View attachment 2899399
Tz ni wanagenerate 1889MW ,Available 1200MW ,demand 1430MW...tunauhaba wa 230MW kwa sasa...ila tumeelekezwa kua Nyerere Hyro electric Dam itatuongezea 2115MW ...So kama kila kitu kitaenda sawa mwaka huu tunapindua meza...labda mtatuzidi kwenye matumizi sio uzalishaji
 
Back
Top Bottom