ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,244
Yaani Wakati Bajeti ya Tarura ni bil.272 (2015-2020) Barabara zilikuwa imara ila wakati Bajeti ni Bil.800(2021 to date) plus Barabara zikaharibika 😁😁😁😁Huna unalofuatilia.
Mathalan mkoa wa Morogoro tu vijijini kuna barabara mbovu tena zilikua zinaanza kujengwa ila zimekwama njiani tokea 2021.
Vifuatilie vijiji kama Mkuyuni,Kisaki,Matombo na Mvuha.
Acha vichekesho wewe,hata hivyo pamoja na Bajeti kuongezewa na Mama 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/CzWGAW8Iwdv/?igsh=MWJwbzBhM2tvc2xldg==