Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni vichache sana na ndio maana Ile porojo ya viwanda haikusikika mdomoni mwa Jiwe kwenye uchaguzi Mkuu 2020.

Vyerehani sio viwanda Mzee.Expansion ya baishara Kwa Sasa ni kubwa kuliko kawaida na ni sekta zote sio kama Jiwe alikuwa analeta visingizio vya kujenga Sgr na sekta zingine zikawa dormant.
Commitment ya investors kama hii ya awamu ya 6 haijawahi tokea popote hapa Tanzania,👇👇

View: https://twitter.com/InvestTanzania/status/1753704190247944668?t=Zn5K7QN0jjpitvXbSlDf0g&s=19

Una uhakika hivyo viwanda ni ufunguzi wa cherehani??
Yani wafanya biashara wadogo wadogo nao wameanza kulalamika kwa tozo zisizo na msingi we unasema expansion ni kila kona???
Expansion labda ya tozo na ukatikaji wa umeme mkisingizia nguzo kuibiwa.
Nakuletea list ya viwanda vingine usiondoke .
 
Je hivi navyo ni viwanda vya cherehani??
 
Attachments

  • Screenshot_2024-02-08-14-30-16-96_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-02-08-14-30-16-96_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    85.6 KB · Views: 12
  • Screenshot_2024-02-08-14-30-09-18_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-02-08-14-30-09-18_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    95.2 KB · Views: 8
Takwimu hiyo pekee haikutosha demand ya umeme kuwa juu kipindi cha awamu ya 5??
Hapo unataka kutudanganya kuwa bado demand ilikua low licha ya viwanda vya kati na juu vilivyokua vinajengwa??
Acha porojo,kumbuka awamu ya 5 ilikuwa haiaminiki kwenye takwimu.

Tunataka tuone viwanda Kwa macho ,mfano Kwa Mbeya nakutajia viwanda vipya Kwa mda mfupi wa Mama.
-Kiwanda Cha Magodoro Mbeya foam kipo Iwambi
-Kiwanda Cha Mabati Taishan kipo Uyole
-Kiwanda Cha Mabati ,KingLion
-Kiwanda Cha Juice Cha Mo ,Iyunga Industrial area

Kiufupi chini ya Samia Nchi imechangamka sana, mengine ni chuki binafsi ila kwenye takwimu hakuna wa kufikia Samia ,sekta yeyote unayoijua wewe.
 
Una uhakika hivyo viwanda ni ufunguzi wa cherehani??
Yani wafanya biashara wadogo wadogo nao wameanza kulalamika kwa tozo zisizo na msingi we unasema expansion ni kila kona???
Expansion labda ya tozo na ukatikaji wa umeme mkisingizia nguzo kuibiwa.
Nakuletea list ya viwanda vingine usiondoke .
Kama tozo gani? Unataka usilipe Kodi? Au unamaanisha nini?
 
Acha porojo,kumbuka awamu ya 5 ilikuwa haiaminiki kwenye takwimu.

Tunataka tuone viwanda Kwa macho ,mfano Kwa Mbeya nakutajia viwanda vipya Kwa mda mfupi wa Mama.
-Kiwanda Cha Magodoro Mbeya foam kipo Iwambi
-Kiwanda Cha Mabati Taishan kipo Uyole
-Kiwanda Cha Mabati ,KingLion
-Kiwanda Cha Juice Cha Mo ,Iyunga Industrial area

Kiufupi chini ya Samia Nchi imechangamka sana, mengine ni chuki binafsi ila kwenye takwimu hakuna wa kufikia Samia ,sekta yeyote unayoijua wewe.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Umetajiwa mpaka maeneo bado huamini??
Hapo si kuna majina ya viwanda yameorodheshwa?
Kavitafute kama hutovipata.
Mie mwenyewe ni mkazi wa kigamboni nimeshuhudia maeneo yakiuzwa na kununuliwa na wawekezaji kuanzisha viwanda 2017.
Bro punguza kuropoka.
 
Katika kipindi uchumi unayumba kwa mambo mengi na upigaji mwingi ni kipindi cha huyu bibi.
Unaposema unayumba unatakiwa kusema unayumba hivi na vile.

Unaposema Kuna upigaji unatakiwa kuonesha huo upigaji.

Mwisho Je unajua kwamba Samia alisitisha mikopo ya 10% ya Halmashauri kutokana na wizi mkubwa uliofanyika awamu ya 5?

Kama Kuna upigaji yet Kuna Utitiri wa miradi sekta zoooote Sasa hapo huoni unaongea vice versa?

Kuna Rais ameweka investment kubwa kwenye sekta ya jamii kumshinda Samia? 👇👇

View: https://twitter.com/twendenamama/status/1755128265214161316?t=YZrw-_gCMNixtjwyKZn-2A&s=19

Kama Kuna upigaji Utitiri wa miradi unatoka wapi?
 
Jifunze ku post unatuumiza macho,Kuna red eye.

Acha stori leta vitu kama hivi 👇

View: https://www.instagram.com/reel/C13-nxENBY5/?igsh=MTU4YnAxYnVwZTk5aQ==

Awamu Ile mlikuwa mnajiandikia tuu Ili kumfurahisha Jiwe ndio maana mkatunga sheria ya takwimu Ili anaepinga akutane na 🔥🔥

Nimekuletea list ya viwanda na majina yake na mahali vilipojengwa.
Kama utakaa na kuipinga hiyo list utakua huna akili timamu.
Pia naona napoteza muda kubishana na wewe mfia kizimkazi.
Uwe na siku njema,
NAFUNGA MJADALA.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Umetajiwa mpaka maeneo bado huamini??
Hapo si kuna majina ya viwanda yameorodheshwa?
Kavitafute kama hutovipata.
Mie mwenyewe ni mkazi wa kigamboni nimeshuhudia maeneo yakiuzwa na kununuliwa na wawekezaji kuanzisha viwanda 2017.
Bro punguza kuropoka.
Jiwe alikuwa mtaalamu wa kupika data ,kwani wewe hujui au unajitoa ufahamu?

Hakuna kilichosimama Mzee,mlikuwa mnasema hakuna mradi Mpya endeleeni kusema tena 👇

View: https://twitter.com/twendenamama/status/1755126145207406673?t=Szqw-8L6g5ZCcGyhCdl49w&s=19
 
Unaposema unayumba unatakiwa kusema unayumba hivi na vile.

Unaposema Kuna upigaji unatakiwa kuonesha huo upigaji.

Mwisho Je unajua kwamba Samia alisitisha mikopo ya 10% ya Halmashauri kutokana na wizi mkubwa uliofanyika awamu ya 5?

Kama Kuna upigaji yet Kuna Utitiri wa miradi sekta zoooote Sasa hapo huoni unaongea vice versa?

Kuna Rais ameweka investment kubwa kwenye sekta ya jamii kumshinda Samia? 👇👇

View: https://twitter.com/twendenamama/status/1755128265214161316?t=YZrw-_gCMNixtjwyKZn-2A&s=19

Kama Kuna upigaji Utitiri wa miradi unatoka wapi?

Umetizama habari ya hospitali na zahanati zilizotakiwa kukamilika mwaka jana na zikashndwa kukamilika kwa wakurugenzi kutapanya pesa??
Hiyo 10% ya mikopo ya halmashauri ilichofanya isimamishwe sio isitishwe ni raia kushindwa kurudisha mikopo sio upigaji usitudanganye.
Serikali iliambiwa ipitie upya mfumo wa utoaji wa hii mikopo ili raia wasije kushindwa kurejesha .
Na hiyo mikopo isharudishwa na inshaanza kugaiwa tena na mimi ni mmoja wapo nilieomba na wanakikundi wenzangu Kigamboni Vijibweni na March tunaingiziwa pesa.
Kwa taarifa hii tu itoshe kusema huna unalolijua.
 
Tozo zilifutwa na Samia,tozo zilizopo ni zile ambazo ni lazima ziwepo na zinafanya kazi.
Mojawapo ya kazi kubwa ya tozo ya Mafuta ni kufungua Barabara za Vijijini ndio maana huwezi sikia Wabunge wanalilia Barabara Vijijini Kwa Sasa Kwa sababu mama amemwaga pesa kuliko kawaida 👇👇

View: https://twitter.com/TaruraTz/status/1745470291990467007?t=bb-b1E05j5eJPPV6MhNe3A&s=19

Taja hizo tozo zilizofutwa.
Mie nakutajia tozo moja wapo zilizo ongezwa na Samia ambazo hazikuwepo kipindi cha Magufuli.
1)Ongezeko la buku kwenye kodi ya ardhi inayokatwa ukilipia luku.
2)Ongezeko la ushuru katika miamala.
3)Ongezeko la ushuru wa kupitisha nafaka tokea kijijini kuja mjini.
Taja wewe tozo zilizofutwa.
 
Huna unalofuatilia.
Mathalan mkoa wa Morogoro tu vijijini kuna barabara mbovu tena zilikua zinaanza kujengwa ila zimekwama njiani tokea 2021.
Vifuatilie vijiji kama Mkuyuni,Kisaki,Matombo na Mvuha.
 
Umetizama habari ya hospitali na zahanati zilizotakiwa kukamilika mwaka jana na zikashndwa kukamilika kwa wakurugenzi kutapanya pesa??
Hiyo 10% ya mikopo ya halmashauri ilichofanya isimamishwe sio isitishwe ni raia kushindwa kurudisha mikopo sio upigaji usitudanganye.
Serikali iliambiwa ipitie upya mfumo wa utoaji wa hii mikopo ili raia wasije kushindwa kurejesha .
Na hiyo mikopo isharudishwa na inshaanza kugaiwa tena na mimi ni mmoja wapo nilieomba na wanakikundi wenzangu Kigamboni Vijibweni na March tunaingiziwa pesa.
Kwa taarifa hii tu itoshe kusema huna unalolijua.
Acha kuongea mambo ya Jumla Jumla ,wapi huko ambako wametapanya pesa? Mbona Hospital kibao hazikukamilishwa na awamu ya 5,Mama amezimaliza?

Kwani kutokamilika Kwa mradi ni ajabu? Hii hapa Ilianza kujengwa awamu ya 5 na haikukamikika ndani ya miaka 5 na Ujenzi unaendelea hata Sasa 👇

View: https://twitter.com/wizara_afyatz/status/1755512558788755669?t=afLadV-S-zVSZuhNUhnMqw&s=19
 
Taja hizo tozo zilizofutwa.
Mie nakutajia tozo moja wapo zilizo ongezwa na Samia ambazo hazikuwepo kipindi cha Magufuli.
1)Ongezeko la buku kwenye kodi ya ardhi inayokatwa ukilipia luku.
2)Ongezeko la ushuru katika miamala.
3)Ongezeko la ushuru wa kupitisha nafaka tokea kijijini kuja mjini.
Taja wewe tozo zilizofutwa.
Namba 3 haipo na kama ipo uwe unataja eneo specific,Kuna Kodi za Halmashauri na Kodi za Serikali Kupitia TRA.

Tozo za miamala zimesalia kwa.kundi la watu wanaofanya volume.kubwa ya transanctions na ambao ni wachache ,mama alifuta Kwa viwango vidogo ndio maana husikii Makelele kutoka Kwa watu au kampuni za simu.

Tozo zilizofutwa hizi hapa 👇

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1751915498470547477?t=LXrzR5OgKLs-NCML2TqyLA&s=19

Kiufupi kwenye Kilimo zimefutwa na kupunguziwa Kodi nyingi,Mimi Niko kwenye Kilimo najua,sijasema zimeisha maana ziliwekwa hapo Kwa miaka Mingi sana.
 
Ni sawa zikifutwa maana zimefutwa huko zimeongezwa kwenye kodi ya jengo na kwenye miamala ya simu 😁😁😁😁😁

Yani unatoa pesa mfuko huu unaweka mfuko huu ili mfuko mwengine usionekane na pesa
 
Your peak demand is less than 2000MW hio yote itakua idle power or for export. 😂 😂 😂
Kila siku demand inaongezeka thats y unaona tunapeleka umeme nchi nzima maana yake lazima demand iongezeka, pia viwanda vinajengwa kila leo lazma demand iongezeke 🤣🤣🤣🤣🤣 watu wanajenga majumba kila leo lazma demand iende juu

Usinambie somo la uchumi ulifeli ??😁😁😁
 
Back
Top Bottom