Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania hawataki kujua ongezeko, watanzania wanataka umeme wa uhakika full stop , blah blah hzo subirini uchaguzi
Unadhani umeme wa uhakika utatoka kwenye mkojo wako? Wewe unaweza zuia katika katika ya umeme? Sababu unazijua au huzijui?
 
Alaf waziri anafanya nn bungeni?? Yani kashfa hio tu inatosha kuachia ngazi
Screenshots_2024-02-08-13-44-13.png
 
Hao kurudi sio uzembe wetu ni uzembe wa jeshi la Congo.
TPDF ilikabidhi usalama kwa jeshi la Congo baada ya kumaliza kazi.
Pia waliopigwa mapanga waliviziwa wakiwa wamepumzika,ila nadhani unajua washika mapanga waliuliwa wengi kuliko hao wanajeshi 20 na wengine kukimbia.
Tanzania ihakikishe inanufaika katika hili la kupeleka majeshi yake Congo, iache mambo ya nyerere.
 
Unadhani umeme wa uhakika utatoka kwenye mkojo wako? Wewe unaweza zuia katika katika ya umeme? Sababu unazijua au huzijui?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 basi waache kuongea kama kuzalisha umeme ni sawa na kukojoa mkojo waache maneno mengi

Watanzania hawataki kujua kuna ongezeko la mkojo au mavi wao wanataka umeme wa uhakika full stop 🔴
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 basi waache kuongea kama kuzalisha umeme ni sawa na kukojoa mkojo waache maneno mengi

Watanzania hawataki kujua kuna ongezeko la mkojo au mavi wao wanataka umeme wa uhakika full stop 🔴
Makamba alisema anahitaji Trilioni 4 kufanya overhaul mkambeza .

Sasa ni hivi hakuna siku umeme utaacha kukatika Nchi hii labda utapungua.

Kwanza ni miaka gani umeme ulikuwa haukatiki labda.
 
Bila kuweka msingi imara huwez jenga gorofa kama unaakili utanielewa 🤣🤣🤣

Kufufuliwa kwa ATCL ilikua moja ya nguzo kuongeza watalii, lazma ujenge msingi imara ndio ujenge gorofa na siku zote aliejenga msingi hawez onekana ataonekana aliefanya finishing ya jengo 🤣🤣

Hakuna ukweli tofaut na huo hata mbingu na dunia zibadilike sasa hvi
 
Makamba alisema anahitaji Trilioni 4 kufanya overhaul mkambeza .

Sasa ni hivi hakuna siku umeme utaacha kukatika Nchi hii labda utapungua.

Kwanza ni miaka gani umeme ulikuwa haukatiki labda.
Mtoto wake aanafanya happy birthday kwenye private jet angani alaf umesema anahitaji bei gani?? Na anahitaj yeye kama nani fundi au??😁😁😁😁😁 musifanye watanzania wajinga sana

Suali ni simple kwann umeme kipindi cha chuma kulikua hakukatiki ovyo shida iko wapi ???😁😁😁😁 ongea tu bila uoga
 
Makamba alisema anahitaji Trilioni 4 kufanya overhaul mkambeza .

Sasa ni hivi hakuna siku umeme utaacha kukatika Nchi hii labda utapungua.

Kwanza ni miaka gani umeme ulikuwa haukatiki labda.
Kipindi cha Magufuli ilikua nadra sana kusikia umeme unakatika.
Na ukikatika haukatiki masaa 12.
Ila sasa hivi umeme unaweza ukakatika masaa 24+.
Unaweza ukanambia kipindi cha Jiwe walidhibiti vipi ukatikaji hovyo wa umeme??
Sababu zimekua haziishi mara nguzo kuibiwa,mara bwawa kukauka,si hawa hawa serikali walisema bwawa la JNHPP litakua tayari kuzalisha umeme january??
Serikali hii ya hovyo kabbissa
 
Bila kuweka msingi imara huwez jenga gorofa kama unaakili utanielewa 🤣🤣🤣

Kufufuliwa kwa ATCL ilikua moja ya nguzo kuongeza watalii, lazma ujenge msingi imara ndio ujenge gorofa na siku zote aliejenga msingi hawez onekana ataonekana aliefanya finishing ya jengo 🤣🤣

Hakuna ukweli tofaut na huo hata mbingu na dunia zibadilike sasa hvi
Umeandika ujinga 🚮

Hakuna single factor ambayo unaweza sema imeleta Utalii zaidi badala yake ni mkusanyiko wa sababu kadhaa na mojawapo ni reputation ya Nchi Kwa Sasa kwamba sio ya kidikteta na matokeo yake ni Kuongezeka Kwa Utalii wa mikutano.

Credits ni Kwa Samia 👇👇

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1681682126679285761?t=E5s601PaFEUe6cZr07FKrA&s=19
 
Back
Top Bottom