Wabongo munaweza kua na resources lakini hamna Human Capital.
View: https://x.com/khaledponera/status/1755295974912594222?s=20
View: https://x.com/khaledponera/status/1755295974912594222?s=20
Silaha ndio vitu vya kufichwa, budget munafichia nani sasa. 😂 😂 😂Unafkiri budget ya tanzania inawekwa wazi au sio 🤣🤣🤣 au hujui kama wizara ya ulinzi ni wizara nyeti sana inayoficha vitu vingi sana
Budget ndio kila kitu chizi wewe budget ni kama dira kwenye wizara 🤣🤣🤣Silaha ndio vitu vya kufichwa, budget munafichia nani sasa. 😂 😂 😂
12. MGAMBO JKT - Tanga
View: https://youtu.be/zd8vpqfJHRk?si=IuUJ9-kW32gAl3Sc
View attachment 2896950
Aache unafiki, washauri wake ni akina Tony Blair, sasa anasikitika nini? Je, Blair ni mpenda amani?Wapenda amani wote we tumbili👇👇
They did not run when KDF was "manning the city" but they did so when JWTZ was kicking their ass in 2013.M23 stayed off Goma when KDF was manning the city… now they are empowered… they only fear KDF…
KWA UFALA WAKO UNADHANI TPDF HAWANA GUIDED MISSILE LAUNCH NA ROCKET LAUNCH??FYI hizo zilipitwa na wakati..sikuizi vita ni smart bombs and drones..why should i send several unguided bomb to hit 1 single target while i can use 1 smart bomb to accurately hit the target..ndio maana Himars ina chafua russia..antii guided bombs ni technology ya kitambo..iraq wenyewe hawatambui hizo sikuizi ni smart bombs na drones..in war technology matters alot.
Sifa moja ya mawimbi ni kufanya interference, hizo smart bomb zinakuwa kipofu zikipigiwa kelele nyingi (Jamming).FYI hizo zilipitwa na wakati..sikuizi vita ni smart bombs and drones..why should i send several unguided bomb to hit 1 single target while i can use 1 smart bomb to accurately hit the target..ndio maana Himars ina chafua russia..antii guided bombs ni technology ya kitambo..iraq wenyewe hawatambui hizo sikuizi ni smart bombs na drones..in war technology matters alot.