Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Attachments

  • 1707306211559.png
    1707306211559.png
    69 KB · Views: 8
Soma hiyo we kijana.
Kazi ndio kwanza imeanza kaeni kwa kutulia.
M23 walichofanyiwa 2013 watafanyiwa tena 2024.
serikali huwa haisemi ukweli....
I scrutinize other sources too.....DRC has to start with disarming the over 100 militia groups who are purportedly saying they are defending themselves....well don't you see a problem there.M23 issue is a very complex issue which no army with a brain will blindly engage their men in combat without purpose. I am sure if you pull aside one tanzanian soldier and ask him what he is fighting for in Congo he will just fumble with inconclusive answers
 
2013 and they are back.....hii ni ujinga ya waafrika au ni nini....na mlipigwa mapanga mkapoteza jeshi 20
Hao kurudi sio uzembe wetu ni uzembe wa jeshi la Congo.
TPDF ilikabidhi usalama kwa jeshi la Congo baada ya kumaliza kazi.
Pia waliopigwa mapanga waliviziwa wakiwa wamepumzika,ila nadhani unajua washika mapanga waliuliwa wengi kuliko hao wanajeshi 20 na wengine kukimbia.
 
serikali huwa haisemi ukweli....
I scrutinize other sources too.....DRC has to start with disarming the over 100 militia groups who are purportedly saying they are defending themselves....well don't you see a problem there.M23 issue is a very complex issue which no army with a brain will blindly engage their men in combat without purpose. I am sure if you pull aside one tanzanian soldier and ask him what he is fighting for in Congo he will just fumble with inconclusive answers
You might be right .
Ila m23 ndio kichomi kuliko hayo makundi mengine.
 
Back
Top Bottom