Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sawa bongolala. Wewe tuambie jeshi lenu limeenda peace-keeping wapi wakafyatua angalau risasi mbili
 
We kweli kitobo.
Unataka kunambia Vingunguti,Tandale,Manzese na Buguruni wanafika wakazi milioni 5??
Nimezungumzia maeneo yenye makazi ya hovyo Dar.
Kaifuatilie Kigamboni kunakojengwa miji mipya na Temeke uone kunavyobadilishwa.
Maeneo yanayosalia kuwa na makazi mabovu ni wilaya ya Ilala(vingunguti,Buguruni,kiwalani) na wilaya ya Ubungo(Tandale,Manzese).
Na bado kunaendelea kuvunjwa kila leo.
 
Hakuna nyumba mathare ni vibanda vya mabati na sewage zinazooverflow na kunuka
Yaan ukiachana na kibera mathare nako ni worse zaidi watu wanaishi kwa madampo.
Pole bongolala.
Most parts of Mathare are a million times better than your stinking uswazi hovels spread all over Dar
Sasa linganisha na zile uswazi hovels zenu zenye bati zilizoliwa na mchwa

I already told one of you that when it comes to housing and residential areas, mnafaa kutulia kama maji ya mtungi
 
MRL sio air defence system we kichaa.
Umeona wapi air defence system inatumia rocket system??
Halafu kumbe mna light rocket launcher Bm21??
Tz kuna Bm21, Bm27 na Bm 30.
Masafa mafupi,ya kati na marefu.
Kenya bado sana.

Wacha kujifanya pumbavu, hii tableπŸ‘‡πŸ‘‡ we umeona MRLS pekee? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Hizo SAM unajifanya hujaona.
 
Tuonesheni wahitimu wa kijeshi vyuo vyenu vya kijeshi wa nje toka vianzishwe?

Bongo since upigania uhuru tumetoa mafunzo mpaka now, TMA MONDULI, NDC DAR, DULUTI.
 
maybe the idiots dont know that
 
Kuna mbuzi ilisema now kila jeshi linapokea special force training, ona sasa amelazimishwa kuvuta bangi, walitest wakaona hakuna.

Nchi yoyote wahalifu hubip vyombo vya ulinzi kuona reaction yake, wakiona ya oya oya wanapata nguvu.

Kenya Northern Kenya, Al Shabaab, Wakoraa, Bandits.

Ila wakiona jeshi halina utani hawarudii tena.

Bongo - Kagera War, Pori la Loliondo, Mapango ya Amboni, Kusini Mtwara, Kibiti, Nyakanazi (Safari za usiku zikarudi).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…