Kijana kama taifa linashindwa kudhibiti mamluki wa ndani hilo taifa dhaifu.Congo is a political war. There's no political goodwill to fight the rebels since the rebels have some information regarding the army. You can't win a war with someone who knows you inside out.
As for Tanzania, they are not even in top 20 strongest armies in Africa.
Hao USA na Russia ni world powers kwasabab wameweza kudhibiti mamluki wa ndani.
Kama unazungumzia strongest kisa bajeti hata Israel inajulikana jeshi bora Middle east ila inatandikwa na Lebanon.
Vita ni mbinu kijana.
ISRAEL NA LEBANON NI JESHI LIPI LINAJULIKANA KUWA LINA NGUVU??
Nijibu hapo kwanza