Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Oh Jesus....this is some comedy or what...lol
Leo mpaka utaita miungu yako yote.
Kila mtanzania anapitia mafunzo ya jeshi kwa namna tofauti. Jeshi la Sungusungu. Omba usikutane na hawa kama wewe ni mwizi tafadhali kimbilia polisi mapema. (Nyie wakenya ni wezi sana)
1706960424675.png



View: https://youtu.be/rwYKc3gxJdk?si=kZnec2LzsjR1Mbju
 
Very nice, naona umekubali level ya Vivunguti ni Kibera and not Umoja estate. Vile inafaa.
Hawa wanajua hawana kitu cha kulinganisha na Nairobi. Wakishindwa kwenye hoja they resort to mentioning Kibera. Yani mtaa mdogo kama Umoja hawana jibu the best they can do is to mention Kibera. Says a lot about this battle and Dar residential areas in general
 
Wewe uliona nyumba ya mabati Umoja ambayo kilaza mwenzako alisema ni slum?

Yani nyinyi kwenye sekta ya makazi mkae kimyaaaa kabisa
Nimekuuliza jibu swali.
UMEONA VINGUNGUTI KUNA NYUMBA YA MABATI CHAKAVU??
NASUBIRI JIBU.
VINGUNGUTI NDIO KIBERA YA TZ.
 
Nimekuuliza jibu swali.
UMEONA VINGUNGUTI KUNA NYUMBA YA MABATI CHAKAVU??
NASUBIRI JIBU.
VINGUNGUTI NDIO KIBERA YA TZ.
Uwepo wa nyumba ya mabati sio hoja. The thing is, it's a slum coz it ticks all the boxes of qualities of a slum. Hata Githurai mnasemanga ni slum na hakuna nyumba za mabati kule
 
Back
Top Bottom