Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haswa, Joburg ilijengwa na machimbo ya dhahabu, Dubai imejengwa kwa mafuta machafu.
Hawa jamaa wanajua mji unakuja tu ghafla.
Kuna pull factors za urbanization ndizo zinaangaliwa ukiachana na watu kuongezeka.
Waache wabung'ae hizo sehem zinakuja kupiga hatua inayotakikanika.
Tz huwa tuna establish by purpose sio aimless establishment kujaza flyover na bado foleni haziishi.
 
Kweli kabisa hata hii kasi ya maendeleo imetokana na vitu ambavyo hata havikuwa vya wazi. Vitu kama umoja wetu, kuongea kiswahili, kuchanganya wanafunzi wa sekondari kutoka mikoa yote nchini, viliweka misingi ya kuijenga nchi.

Leo hii tuna undugu na amani, ndiyo maana JF iliweza kushamiri, wakina Dimond wanafanikiwa, Milard Ayo akianzisha Channel inapata subscribers, ligi yetu unakuwa kwa kasi, hata CAF wanalijuwa hilo.

Sasa tumekuja na hizi tangibles kama ujenzi wa barabara, reli, masoko, bwawa la umeme, viwanja vya ndege n.k. Yaani miaka 10 ijayo tutakuwa mbali sana.
 
Tanzania ni nchi iliyofanikiwa, kwa kiasi kikubwa, kujenga umoja wa kitaifa (the process of building a nation) tangu ilipopata uhuru. Mataifa mengi ya kiafrika yalifeli hapo.
 
Leta CT CT Scan mzee mbona unapotezea?

Samburu County Referral Hospital​

View attachment 2890861
ok
samburu hospital 3.jpg
samburu hospital 1.jpg
samburu hospital.jpg
 
60 to 70% wanaishi kibera what about other 30 lovely slums ??🤣🤣🤣🤣🤣

Mtu anakaza fuvu wakat dunia nzima inaitambua kibera kama ndio kinara kwa worse slum on planet

View: https://twitter.com/MBashende/status/1547253414991695873?t=rmIrCsI0AaUMSsbhgX0CbA&s=19

View: https://twitter.com/ngmaroa/status/1111367014591926277?t=lyRgOE9Yh6DiMaVPYmvtXw&s=19

This just buyers remorse…. Its normal of free people to sensationalize their frustration… Similarly when Bongo finished last in AFCON, some Bongolalas on line reacted with words like , “ we have the worst national team in the world “…. That’s a figure of speech… am sure you can still beat Lesotho and Indonesia 🤣🤣….So please cut the 60% Kibera population bullcrap… you can keep repeating the same old song till cows come home but it will never make it true… Most Nairobians live in Eastlands..
 
Kwani ww unafkiri kwann kibera inatajwa kua the largest slum on planet unajua sababu kubwa ?? Sababu kubwa ni sehemu ndogo iliokusanya maiti watarajiwa wengi sana kuliko idadi ya eneo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hakuna kitu kitabadilisha kua kibera is not the biggest slum on earth hakuna na haitatokea 🤣🤣🤣🤣

View: https://twitter.com/jeff_bys/status/1528706331221401600?t=cX_xu07kvc6BP6oPWdbhZA&s=19

So your source is a missionary whose livelihood depends on statistics he reports… wow!…. While you at it… post the African babies with flies on their face… you might impress a western soul and receive massive donations… good luck…
 
It’s hilarious how every time a Bongolala post an old outdated photo of a Kenyan hospital…. Boom! they got hit with the real current photo….🤣🤣🤣… poor Tanganyikans… you will give them high blood pressure..🤣🤣🤣… but they never give up their ignorant bullsh*t
hizo ni photos wakati tulikuwa ldc huko 1995.....Moi messed us up but we picked up so fast afterwards
 
Back
Top Bottom