Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wabongo munapenda kubaki nyuma sana wakati dunia inabadilika kwa kasi. New technologies zinatokea kila siku lakini kama kawaida munabaki nyuma ju akili zenu za kijamaa zinafanya muwe slow. Kitambo diagnosis ya SPECT CT ilikua inatumia machine mbili, moja ya SPECT na nyingine ya CT scan. Kwa sasa teknolojia imebadilika na kampuni kama General Electric inatengeneza machine ya hybrid SPECT/CT ambayo imeunganisha machine zote mbili kua kitu kimoja kama machine za PET/CT. Soma hapa abstract ya mtalaamu ujue advantages za SPECT/CT kwa dunia ya sasa.

View attachment 2890338
Kosugi
 
Numbers do not lie. Wewe yako ni kelele tu.

Wajir County Referral Hospital​

Iko wapi CT Scan?
1706791981744.png
 

Attachments

  • Screenshot_2024-02-01-15-53-13-87_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-02-01-15-53-13-87_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    151.7 KB · Views: 14
  • Screenshot_2024-02-01-15-53-22-51_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-02-01-15-53-22-51_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    176.5 KB · Views: 9
Kati ya Spect ct na pet ct ipi ni bora? Hilo ndio lilikuwa swali la awali acha kuruka ruka.😎
Anaruka ruka kama maharage kwenye pressure cooker.
SPECT NA PET ZILIKUA ZIKIFANYA KAZI BUBU ILA KWASASA ZOTE MBILI ZIMEUNGANISHWA NA CT.
KUNA SPECT CT NA PET CT .
ILA WATAALAM WANAKWAMBIA KWA EFFICIENCY PET CT IKO VIZURI NDIO MAANA SPECT CT WANAMUITA DADA MDOGO WA PET CT.
Na ukiwa na PET CT huna haja ya kuwa na SPECT CT.
Jamaa yako anaruka hapa anaruka pale.
 
Nilishakuambia, hybrid SPECT/CT ni technology mpya, combining both SPECT na CT in a single machine. Bongolala mutaendelea kubaki nyuma. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ‘‡ πŸ‘‡ Hybrid SPECT/CT is still a new technology.


View: https://x.com/MayoRadiology/status/1218252379038081024?s=20


🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣.
We kijana acha kuchekesha.
Embu jaribu kuficha ujinga.
Hizo zote mbili PET NA SPECT zimeunganishwa na CT kwasasa.
Hakuna inayofanya kazi bubu.
Ila kiufanisi PET CT ndio ina ufanisi mkubwa.
Au unachanganyikiwa na neno hybrid?
We jamaa fala sana.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣.
We kijana acha kuchekesha.
Embu jaribu kuficha ujinga.
Hizo zote mbili PET NA SPECT zimeunganishwa na CT kwasasa.
Hakuna inayofanya kazi bubu.
Ila kiufanisi PET CT ndio ina ufanisi mkubwa.
Au unachanganyikiwa na neno hybrid?
We jamaa fala sana.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Kenya ikona PET/CT na SPECT/CT kama every other modern cancer hospital in the world, nyinyi endeleeni kubaki nyuma kama matako.
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Kenya ikona PET/CT na SPECT/CT kama every other modern cancer hospital in the world, nyinyi endeleeni kubaki nyuma kama matako.
Hakuna PET/CT hapo kenya mzee. Usidhani hii ni kama unanunua unga wa mahindi mzee.

A new generation PET-CT machine can cost between $1.5 and $2 million.
 
Back
Top Bottom