Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_2024-01-31-22-23-39-82.png
 
Yani unaleta vi article vya google.
Mie nimesomea masuala ya afya,unaonaje tuanze kujadili medical laboratory hiko kifaa kina function vipi kiasi nikasema haihitaji kifaa kingine??
Wabongo wabishi sana, lakini mukipewa data that doesn't favor your side munasema imepikwa. 😂 😂 👇 👇

Screenshot 2024-02-01 152139.jpg

Haya , wenye timu zenu na nyie mje kuweka zenu. Wakunya kaeni kimya nataka niwavimbie wanangu makolo na Uturuki plus kambakamba, ila kama mna weza game bas karibuni. 👇jana.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-01-31-21-26-24-43.png
    Screenshot_2024-01-31-21-26-24-43.png
    31.9 KB · Views: 11
Wabongo wabishi sana, lakini mukipewa data that doesn't favor your side munasema imepikwa. 😂 😂 👇 👇

View attachment 2890816
Yaani umechimbua mpaka vitu vya 2021 unavileta mwaka huu?😁
 
ukija kisumu halafu ufike kaloleni kwa wanubi unatarajia nini.....
Hehehehe nimecheka sana mm kisumu nimeizunguka yote na sio kisumu tu kenya nzima nimeizunguka sehemu sijafika kenya ni lamu na turkana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Na hakuna border mm sijapita zote nimepita hakuna kitu utanidanganya
 
Wabongo wabishi sana, lakini mukipewa data that doesn't favor your side munasema imepikwa. 😂 😂 👇 👇

View attachment 2890816

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mie ukinzani wangu na wewe ulikua kuhusu PEC sio hizo data.
Colonel Venus star njoo ushughulikie hii mutu ya kibera.
 
Wabongo wabishi sana, lakini mukipewa data that doesn't favor your side munasema imepikwa. 😂 😂 👇 👇

View attachment 2890816
Uliishia Counties 10 tu kijana. Hebu tuendelee tulipoishia jana. Usirukie mada zingiene.
Au kama hii mada huwezi tuoneshe GTC tower
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mie ukinzani wangu na wewe ulikua kuhusu PEC sio hizo data.
Colonel Venus star njoo ushughulikie hii mutu ya kibera.
Nilidhani wewe ni mtalamu kwa maswala ya afya. Umeona data ukaanza kulia. 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom