Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sijui kama alikuelewa hapa..

Yan hyo kamasi town ni kama ilipo wilaya ya ubungo tu hpo.
 
Picha zina karibu mwaka halafu unasema ni recent photos..

Eti "i won't reveal it to you"😂😂😂😂
 
Picha zina karibu mwaka halafu unasema ni recent photos..

Eti "i won't reveal it to you"😂😂😂😂
View attachment 2889216View attachment 2889217
October 2023 not that far long… and I posted the photos to show you the difference in combat uniforms between the KDF teams departing and those staying… the uniform above is still in DRC… now you know
 
Ona ulivyo muongo.
Kkmara yoooteee imejengeka mpaka mbezi luis mashamba ya mihogo unayapata wapi??

Huyu jamaa anachekesha.
Kibaha mkoa wa pwani sijui haelewi?

Tunaongelea distance from CBD, Sio boundaries.
 
Mbona mie sijaona mashamba pale??
Nimeona makazi tu ya kawaida.
Pia ushidhani maghorofa ndio utajiri kijana.
Watu wa hayo maeneo wanakula mpaka milo 7 kwa siku usafiri rahisi pia biashara nyingi hawalali njaa kama nyie huko.
Wabongo mnakuwa wajinga sana. Ule milo Kumi ndio nini? Yani hapo mnafikiria Kula tu and only affordability stops you from eating? It's unhealthy to overeat. 3 meals are more than enough and occassionally you have to do two.
 
Wabongo mnakuwa wajinga sana. Ule milo Kumi ndio nini? Yani hapo mnafikiria Kula tu and only affordability stops you from eating? It's unhealthy to overeat. 3 meals are more than enough and occassionally you have to do two.
Kunyan mlivyokua mnaandamana na masufulia mlikua mnawaza nini au mlikua mnawaza kunya?
 
Kamakis pia haiko Nairobi, Dar is a slum imezungukwa na vijiji, Nairobi imezungukwa na towns forming a cluster. 😂 😂 Dar imezungukwa na mashamba ya mihogo na vijiji.

Akili yako itakua na matatizo,kila mtu anajua iko kimji chenu kimezungukwa na slums kila kona,kawadanganye matahira wenzako huko kibera
 
Ona ulivyo muongo.
Kkmara yoooteee imejengeka mpaka mbezi luis mashamba ya mihogo unayapata wapi??

Huyu jamaa anachekesha.
Kibaha mkoa wa pwani sijui haelewi?
Sasa na wewe onesha ma slum yaliyozunguka nairobi, usitoe credit kwa mpuuzi wkt tuna siraha kibao za kuwapiga hawa mbwa.
 
Fikeni level hizi ndio muanze kujilinganisha na sisi mbwa nyinyi,mna kazi ya kuonyesha vijighorofa na vibarabara vya kulipia tu,tuonyesheni project zenu zinazomgusa kila mkenya sio vimiradi vya show off visivyo na tija yoyote kwa raia wa hali ya chini
 

Attachments

  • TikTok_7325194831570029829.mp4
    3 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…