Halafu wakenya nishawajua.Kuna wapuuzi wanafananisha Dodoma na Tatu city hebu walete SGR Train station yao na wakimaliza walete ring road yao na airport yao U/C!
Wao huchukulia mji mzuri lazima uwe na maghorofa marefu sanaaaa na ma flyover mengiiiiii.
Kumbe mji mzuri ni ule uliojengwa kwa mpangilio na ukawa una miundombinu kwa uhitaji maalum.
Akaitizame ASMARA mji mkuu wa Eritrea.
Una majengo ya chini na maghorofa ya kawaida ila nasema ni mzuri hata Dar hauingii.Kwasababu wameupangilia na wameweka miundombinu stahiki.
Nairobi imejaza mi flyover kibao still ni mji unaoongoza kwa traffic jam.